business

  1. J

    JamiiForums Tanzania Export business - From Tanzania to the world

    Heshima kwa wapambanaji wote! Itoshe kusema itifaki imezingatiwa, na kwa heshima kubwa, napanda jukwaani nikilenga kujadili hili jambo la Export business! Kwanza, hapana shaka kwamba Tanzania & East Africa na Africa kwa ujumla ni sehemu ambazo zimepata upendeleo sana katika raslimali ardhi na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Business Partner are needed

    Habari wana jamii! Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila mmoja ana 1M, na kila mmoja nitampa share ya 40% na 20% nachukua mimi kama mbeba maono. Kama upo...
  3. Biashara Nafuu

    JamiiForums Tanzania The Restaurant Business Planner

    Do you plan to start a Restaurant and yet to get clarity on the following : What equipment you require? Kitchen, Preparation, Cooking, Dinner and other? In what quantities? How much will the equipment cost? What about the premises ? What are the possible renovations required? How much will...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Business Portal kwa ajili ya kuombea leseni bado inafanya kazi

    Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni. Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na imefanya kazi kwa mda mfupi tu na tumerudi kulekule kwenye manual. Serikali inajitahidi lakini...
  5. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Picks The Title Again (Africa's Leading Business Destination 2020)

    Nairobi has been ranked Africa’s leading business travel destination for 2020 by the 27th installment of the World Travel Awards. The awards also ranked Kenya as Africa’s Leading Destination. The news was unveiled during the inaugural Africa Winners Day hosted by World Travel Awards– a global...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania The Family Business ni Tv Series ya hovyo iliyonishinda kuiangalia

    Carl Weber inawezekana ni very Amateur katika ulimwengu wa Film na Series. Nliona sana BET wakiitangaza hii Series yenye ushiriki wa Black Americans wengi. Nikashawishika kuipata niitizame. Kiukweli ni TV Series ya kuangalia na watoto wadogo na housegirls wa kibongo. Sisi watu wazima ni ngumu...
  8. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Magufuli emulating the Vietnam’s revolution, Lissu should learn from Singapore the role of government in business!

    Firstly am delighted to realize differences in some policy propositions by Tundu Antipus Lissu — the Chadema opposition presidential candidate against those of the incumbent and the ruling party Chama cha Mapinduzi presidential candidate, Dr. John Pombe Magufuli. One of those important policy...
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Nywele

    Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion 4...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Proposal, Business Plan na Marketing Research?

    Kwa wale wanaohitaji business plan, proposal na research, tafadhali wasiliana nami at humble2080@gmail.com. Ninatengeneza vitu tajwa hapo juu kwa ubora wa hali ya juu sana. Bei za vitu hivyo zinatofautiana na ni makubaliano baina yetu. Karibuni inbox au ktk email tajwa hapo.
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Building a business Model-Kuna umuhimu?

    Habari za wakati huu; Moja kati ya ya changamoto zinazowakaili wajasiriamali wengi huwa zinasababishwa na kutokuelewa hasa msingi wa muundo wa biashara yao(Business Model) Wengine huanza biashara ila kuwa na business model na wengine hujikuta wakianza vizuri ila wakifika katikati wanaacha...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyayo National Stadium open for business

    Aerial view of Nyayo National Stadium that is set to be reopened after three years of renovations in this photo taken on September 25, 2020. What you need to know: The refurbishment has been spectacular with the venue now capable of hosting any world-class event, with the Kip Keino Classic...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Super Bonus Business Plan kwa Vijana 32 wa Kitanzania

    Hii Business Idea ni Idea ya kawaida sana ambayo vijana wengi wanaweza kufanya inachohitaji tu ni utayari,muda na mtaji kidogo.I tabadilisha sana mfumo wa Utendaji katika sekta husika na pia itaongeza thamani ya huduma kwa wateja.Ina potential ya kutengeneza Mapato makubwa sana kwa vijana hawa...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity's CEO Wins 2020 Oslo Business for Peace Award

    Equity Group CEO James Mwangi with his Ernst and Young Award in 2012 FILE Equity Group CEO James Mwangi has been selected as one of the winners of the 2020 Oslo Business for Peace Award. He was selected by four Nobel Prize Winners for his role in providing banking services to people who...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Business Plan ni nini?Ina umuhimu gani?

    Business Plan katika biashara ni kama ramani ya nyumba. Unapotaka kujenga Biashara ni sawa na unapotaka kujenga nyumba au unapotaka kwenda mahali fulani ni muhimu sana uwe na ramani.Business Plan ni kama ramani ya Biashara yako. Business Plan inaweza kuwa fupi yenye kurasa moja au inaweza kuwa...
  16. Masokotz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA 3 Pages business plans for sale with revenue potential of 250,000 per day

    Habari za wakati; Kwa wale ambao wana hanangaika sana kuhusu aina ya Biashara kiwango cha mtaji na usimamizi wa biashara zao tunawapatia huduma ya ama kuwaandalia a custom business plan au ready made business plans ambazo zinakuwa na kurasa tatu tu zikiwa zimesheheni taarifa zote muhimu kama za...
  17. Biashara Nafuu

    JamiiForums Tanzania The Maize Milling Business Guide & Plan

    Do you want to start a Maize Milling Business? Unga wa ugali? Then get this 85-page guide which contains: 1. Overview 2. The Opportunity 3. The Upcountry Choice – Case Study Disadvantages Advantages 4. Case Study - Disadvantages The Advantages 5. Target Market Keys to Success. 6. The...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Insurance Business Development Manager at VisionFund International (VFI)

    Insurance Business Development Manager *Position location to be determined by home country of successful candidate within a jurisdiction (country or US State) where VFI is registered to operate. Organisational Background: VisionFund International (VFI) is the world’s largest Christian...
  19. M

    JamiiForums Tanzania How to start poultry business from your back yard and also produce your poultry feed

    Poultry is the general term for anything concerning domestic birds and they can be reared on a large scale or small scale depending on the amount of money you have, but for the sake of this article i will be writing on rearing of chicken for those that want to do it on a small scale. Since...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Business Development Manager at Maendeleo Bank Plc

    Overview Maendeleo Bank Plc commenced operations in September 2013 as a Regional Bank with its Headquarters at Luther House, Sokoine Drive – Dar es Salaam. It is the first bank in Tanzania to be registered in Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) from its inception through Enterprise Growth Market...
Back
Top Bottom