Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza mahitaji ya bidhaa za urembo kwa wanawake na wanaume.
Ukuaji wa kipato cha watu umeongeza matumizi...