business

  1. S

    JamiiForums Tanzania Business consultant needed

    Anatakiwa kijana aliyemaliza chuo ngazi ya degree. Awe na ujuzi wa kusajiri majina ya biashara na Kampuni,kutoa ushauri wa kibiashara, kufuatilia leseni za Biashara nk. Akiwa Arusha itapendeza zaidi. anaweza kupiga simu no +255 27 2976666
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business)

    Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business) Kama huwezi kuanza moja kwa moja na kampuni, usiogope anza na jina la biashara na mengine utamalizia kwa badae. Hapa chini kuna hatua kuu ambazo zitakuongoza ili usajili wako uwe rahisi, wa haraka na wa kisheria kabisa. Hatua ya...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuna business ya network Jana niliuIizia huku..nkauliza baadhi ya watu huku MKOA naona kimewaka huko helà hazitokii!!!

    KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA ALIEWAHI KUNIINGIZA KAMPUNI MOJA NIKAINGIZA HELA KWA TAMAA NIKAWEKEZA UJE MZIGO WEWE WAKAPITA NAZO...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Infobip brings voice calling to WhatsApp business users

    What you need to know: The feature allows businesses to receive and initiate voice calls globally, using WhatsApp’s native interface so customers never leave the app. Global cloud communications platform Infobip today announced the launch of WhatsApp Business Calling, a new feature that...
  5. melick odas

    JamiiForums Tanzania Msaada wa business ideas, kwa mtaji wa M4 ukanda wa Pwani

    Habari wakuu , Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4. Mawazo yenu ni muhimu sana yaweze kutusaidia wapambanaji kujikwamua kiuchumi. Ahsante.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Demand a fiscal receipt upon payment for goods or service for the survival of your business

    The Finance Act, 2024 had amended section 11 of the Income Tax Act, Cap 332 by adding the requirement to use the electronic receipt to authenticate purchases made in a particular financial year of income. The amended section states that; “Expenditure incurred by a person during the year of...
  7. A

    JamiiForums Tanzania The Cash Flow To Finance Your Business Is Hidden In Your Vat Returns

    A VAT refund is a request filed by the taxpayer to the commissioner general with the intention of receiving reimbursement for excess VAT paid within a specific time period when input VAT exceeds output VAT. For that case, whatever the VAT you have paid in excess you are entitled to apply for VAT...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania HR Business Partner, 2 Vacancies at Equity Bank, July 2025

    Job type Full-time Job Job Description: HR Business Partner General Information Job Title: HR Business Partner Department/Division: Human Resources Number of Vacancies: 2 Basic Purpose This role is responsible for delivering organization goals through people strategy. The job holder will work...
  9. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
  10. Investaa

    JamiiForums Tanzania Inspirational Business Stories

    Habari mazee . Leo nataka nikupe kichupa ambacho nimekichek youtube nikasema nikipige na AI kisela niwaletee wana mjifunze kuhusu ujasiriamali. Movie inaitwa "The Billionaire", Thailand movie: Taokaenoi: hadithi ya kuanzia kutoka hali ngumu hadi utajiri ya kitafunwa cha mwani cha Kithai...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Nani anatuwakilisha US-Africa Business Summit, Luanda, Angola?

    Nani mwakilishi wetu huko kwenye US-Africa Business Summit inayofanyika Luanda, Angola? Makamu yupo Roma,Italy, PM Bungeni. Tujitahid tuhudhurie hii kitu muhimu sana. Najua hatutakosa mikopo huko
  12. God is Dead

    JamiiForums Tanzania TANCHICK business proposal

    Karibuni waungwana mwenye nafasi apitie hili jambo aangalie ni kwa namna gani anaweza akachangia chochote chenye kuongeza manufaa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Vitu Vinavyotofautisha Kampuni na Business name

    1. Umiliki Kwa Sheria za kwetu hapa Kampuni ni lazima iwe na Wamiliki kwanzia wawili na kuendelea. Hawa huitwa shareholders au wanahisa. Lakini kwenye jina la biashara anaweza kua mtu mmoja anaumilikj wa asilimia 100. 2. Watendaji Kwenye Kampuni lazima kuwe na watendaji wakuu yaan directors...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

    Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Strategic Execution Business Partner at Yas Tanzania June 2025

    Strategic execution business partner – New vacancy (apply by June 13, 2025) Let’s grow together—become our Strategic Execution Business Partner. About the role: We are seeking a Strategic Execution Business Partner with a master’s degree in business, finance, strategy, or a related field, and...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

    Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi. Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa. Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea. Leo kuna...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Football business, Simba imepata hasara kubwa kufikia fainali shirikisho kuliko isingeshiriki kabisa

    Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
  18. RaJhumoR

    JamiiForums Tanzania Business Frames for Rent ( Bonyokwa/Kinyerezi Road)

    Hello Habari wana JF I present you Frame zilizoisha na zinahitaji wateja wenye ndoto za kuanza au kuendeleza biashara zao eneo la Ditopile, Barabara ya bonyokwa to kinyerezi Frame hizi zipo 9 ila kwa sasa zimebaki 3, Na mkataba unaanza rasmi tarehe 1 June hivyo basi nawaomba na nawasisitiza...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Limebaki boom moja sina hata business idea

    Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!! Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea. Natamani kulia natamani kucheka Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
Back
Top Bottom