Wazol biashara ( billion dollar business)

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
428
Reaction score
766
Wakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara itakayoninyanyua kutoka hapa nifike level ya dollar Billionaire.
Biashara nilizonazo kwa sasa naona kama zimefika ukomo sioni kama zitanifikisha huko.
Background yangu.
Biashara ninazofanya
1. Education sector - Ninamiliki shule ya msingi na Sekondari.
2. Chuo cha kozi za afya chini ya NACTE
3. Nina biashara kubwa tu ya Hardware ila nataka niachane kabisa na biashara za uchuuzi ,sababu mtaji ni mkubwa ila uwiano wake na faida sio kabisa,Capital kubwa sana lakn faida ni ndg.
4. Nina apartment za kupangisha - hii nilifanya tu kama sehemu ya kuhifadhia mtaji maana return ya ni ndogo na inakuja taratibu sana.
Elimu yangu : Bcom Accounting.
Age : 42
 
Kilimo cha kisasa mkuu,
Parachichi zinawatajirisha watu.
Jaribu kufanya uchunguzi wa kina.
Saizi waiita Green Tanzanite
 
Wakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara itakayoninyanyua kutoka hapa nifike level ya dollar Billionaire.
Biashara nilizonazo kwa sasa naona kama zimefika ukomo sioni kama zitanifikisha huko.
Background yangu.
Biashara ninazofanya
1. Education sector - Ninamiliki shule ya msingi na Sekondari.
2. Chuo cha kozi za afya chini ya NACTE
3. Nina biashara kubwa tu ya Hardware ila nataka niachane kabisa na biashara za uchuuzi ,sababu mtaji ni mkubwa ila uwiano wake na faida sio kabisa,Capital kubwa sana lakn faida ni ndg.
4. Nina apartment za kupangisha - hii nilifanya tu kama sehemu ya kuhifadhia mtaji maana return ya ni ndogo na inakuja taratibu sana.
Elimu yangu : Bcom Accounting.
Age : 42
Tunatafuta wawekezaji tuunganishe nguvu tujenge assembly factory ya magari ya umeme..karibu
 
Ingia kwenye biashara ya dhahabu mkuu
 
Back
Top Bottom