Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards.
Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi.
Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa...
Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi.
Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake...
Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii kinda sijaangushwa kabisa. Album yake inaitwa BOY ALONE na imetoka leo hii.
Nilichofurahishwa sana...
BURNA BOY AKANUSHA NDOA:
SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa.
Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia...
Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana...
Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'
Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
Binafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua?
Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi...
Saa hizi niko mtandaoni nasikiliza Album ya Burna Boy ya "Twice As Tall" na nimefurahishwa nayo kupita kiasi.Niseme tu, nadhani huyu jamaa ana kipaji kikubwa na kila siku anazidi kukomaa tu. Humu ndani wametokea wasanii wakubwa duniani kama Youssou N'Dour, Christ Martin (Vocalist wa Cold-Play)...
Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana ameweza kupata mafanikio makubwa kuliko msanii yoyote wa Nigeria.
Big up to him. Nini umejifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.