bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Alpha

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa P. Diddy kwa 50 Cent aligonga mwamba

    50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?" 50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu...
  2. mrdocumentor

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Uandishi wa Research Proposal Bure

    Hello, Jina Langu Mr Documentor, Founder and Owner of Mr Documentor Academic Hub. Nitumie Furse hii ya uhai kuwakaribisha wanafunzi wote Tanzania hii na Nje ya Tanzania Ambao wanatarajia kufanya Research Mwaka huu wa Masomo yaani 24/25 Kuhudhuria kwenye Darasa la uandishi wa Research Proposal...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kuingia Polisi ni bure ila kutoka ni hela

    Huo usemi una ukweli kiasi gani kwa Jeshi letu la Polisi?
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sasa unafanya kazi ya ulichokisomea au ulipoteza tu muda na pesa shule funguka

    Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv) Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muamini Baba na Mama yako unaowaona, hayo mambo ya Mungu achana nayo, hayapo na hayatokuepo

    Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana. Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo. Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over, Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
  8. K

    JamiiForums Tanzania SME airtel bure

    Jipatie huduma ya bando nafuu airtel kwa wewe mfanyabiashara
  9. Ziro Buyu

    JamiiForums Tanzania Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

    Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania. Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi. Hivyo ajali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Moment: Benki ya Finca ilivotunyoosha mimi na familia yetu kisawa sawa

    Daah maisha yanatupitisha kwenye moments ambazo ni ngumu kusahaulika. Moja ya moment ambayo sitakuja kuisahau ni jinsi Bank ya Finca ilivotufanyia somba somba alooo. Nakumbuka mwaka 2010 tumekaa ofisini na mama (ofisi ya kushona nguo maana wazazi wangu wote ni mafundi kushona na kipindi hicho...
  12. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa tumpe uraia. Wananchi tumempenda bure

    😂😂💛💚💛 Next time hatukamii game ..
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DP world hawakupewa bandari za Tanganyika bure. Nakataa

    Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika. Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

    Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hautopendwa bure

    Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure. Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nitamtetea bure aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa. Watanzania wanataka kuona waliombaka na kumlawiti wanakamatwa.

    Ikiwa POLISI watampeleka AMOSI, MAHAKAMANI, basi, NITAKWENDA KUMTETEA BURE. Watu wanataka kuona POLISI IKIWAKAMATA WABAKAJI NA WAFIRAJI. Hayo mengine ya “KUZUSHA KIFO CHA BINTI WA YOMBO”, ni masuala MADOGO SANA KISHERIA. Pia soma Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  18. Xi jiping

    JamiiForums Tanzania Nitajie chanel za bure za DStv

    Mimi hii naijua ni ni channel 100 Hii hata vifurushi na chanel zote zikate haikatiki. ila ni chanel ha matangazo
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wana ukichaa sio bure

    Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea. Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji. Jamaa...
  20. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Yanga mmesema Tiketi za VIP zimeshaisha, tunaomna mtutangazie mapema kuhusu kuingia bure

    Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out. Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na...
Back
Top Bottom