bunge

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bunge Joseph Kizito Mhagama atemwa ubunge jimbo la Madaba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika matokeo yaliyotangazwa na Katibu wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Bora kipi bunge la wasomi mafisadi au machawa wasio mafisadi?

    Jitafakari!!
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu vipi Leo ni 3/8 / Rais kavunja Bunge ?.

    Wakuu nilikua Bize siku nzima !!. Mwenye Ufaham na hili
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Upendo wa bunge umeyeyuka kwa sababu gani ?

    Enzi za Kikwete, Tundu Lissu ananyukana kwa hoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali... Lukuvi anaingilia... Mara Chenge naye anaibuka... Watu wanagonga meza, mara kwa mbali unasikia "Kuhusu utaratibu....", mara "Muongozo..." Halafu Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu anakataa muongozo wala...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM wamesahau kuwa waliunda mpaka bunge la Katiba?

    CCM wanaposema kuwa hakuna muda wa kurekebisha Katiba, wamesahau waliunda mpaka bunge la kurekebisha Katiba?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hati Ya Kuvunjwa Rasmi Kwa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je Mkapa angekuwepo na yeye angetoa baraka za kuwa na Bunge la kifamilia yaani Baba , Mama na watoto mnakutana bungeni?

    Taifa limekosaa wazee wa kushauri . Yawezekana Mkapa angeongea jambo Kama angekuepo Ila ndo hivyo. Maana Mwaka 2010 nakumbuka Mtoto wa Mkapa aligombea ubunge pale Kigamboni kura za maoni dhidi ya Ndugulile Ila mtoto wa mkapa hakutoboa katika kura za maoni. Ila Leo hii kinachoendelea ni aibu...
  10. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi wa wagombea umekuza au umekanyaga demokrasia ndani ya CCM?

    Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania List ya baadhi ya Wabunge ambao hawarudi Bunge lijalo

    Chama Cha Mapinduzi leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali. Baadhi ya wagombea ambao walikuwa wabunge majina yao hayajapitishwa na chama hicho ni pamoja na:- 1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini 2. Stephen Byabato- Bukoba Mjini 3. Ndaisaba...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa bunge la Pakistan wazichapa

    Mvutano mkali ulitokea ndani ya Bunge la Mkoa wa Punjab, Pakistan, siku ya Jumatatu, baada ya mbunge wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI), Khalid Nisar Dogar, kumshambulia kimwili mbunge wa Pakistan Muslim League-Nawaz (PML-N), Hassan Riaz. Tukio hilo lilianza wakati wa majibizano makali...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Rasmi USAID imevunjwa leo na Bunge la Marekani,serikali imejipangaji?

    Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID. USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika sekta mbalimbali hasa Afya kama vile kupambana na magonjwa yanayo ambukiza kam vile ukimwi na afya ya...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakubusi: Bunge linahitaji watu makini na wenye uelewa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema Taifa linahitaji Bunge lenye wabunge makini, mahiri na wenye uelewa wa kina wa masuala ya kikatiba, ili kuhakikisha uwajibikaji na ufanisi katika mfumo wa utawala wa nchi unarejea kwenye misingi iliyowekwa na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge Mpina hazijajibiwa hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa

    Hoja zilizoibuliwa na Mbunge Luhaga Mpina zimekosa majibu hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa, je watanzania wafanye nini ili kupata majibu ya hoja hizo. nazikumbuka hoja chache za Mpina ambazo hazijapata majibu hadi sasa. 1. Hoja Kwanini Wizara ya Kilimo ilitengeneza uhaba wa sukari...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Mim na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

    "Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake...
  19. rushanju

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍 #NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
  20. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge la Tulia Ackson kushindwa kujadili vitendo vya utekaji na watu kupotea, Mbunge yeyote ambae angejiuzulu, angejingea heshima kubwa sana

    Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na ndio maana hakuna hata mmoja alieona thamani ya kujiuzulu ubunge na kukataa kuwa sehemu ya Bunge...
Back
Top Bottom