Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 969
- 1,939
Waandamanaji kuvamia na kuchoma jengo la bunge jijini Kathmandu. Vijana wengi wamejitokeza mitaani wakisukumwa na hasira dhidi ya ufisadi na kile wanachokiita “nepo kids” watoto wa wakubwa wanaopewa upendeleo serikalini.
Wachambuzi wanasema haya ndiyo machafuko makubwa zaidi kushuhudiwa nchini humo kwa miongo kadhaa, na yaliwaacha Waziri Mkuu mstaafu bila chaguo zaidi ya kung’atuka madarakani.
Wachambuzi wanasema haya ndiyo machafuko makubwa zaidi kushuhudiwa nchini humo kwa miongo kadhaa, na yaliwaacha Waziri Mkuu mstaafu bila chaguo zaidi ya kung’atuka madarakani.