bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba. Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
  2. A

    DOKEZO Responded Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito. Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma zao ni mbovu hasa upande wa Wodi ya Wajawazito. Watumishi wa Kituo hicho cha Serikali ambacho pia...
  3. Kagera: Nyota ya Paul Makonda imewaka tena, apokelewa kwa kishindo Bukoba

    Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025. Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda...
  4. A

    Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  5. Wananchi Bukoba: Machinjio Manispaa ya Bukoba siyo rafiki kwa matumizi, yaboreshwe

    Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla. Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu...
  6. Unpopular opinions kuhusu Samaki: Kutoka Dar es Salaam Kwenda Mwanza na Bukoba"

    Juzi kati nikipata fursa ya kutembelea Kanda ya ziwa Kwa wiki kadhaa. Nikapata uzoefu wa kipekee nilipotembelea Mwanza na Bukoba, maeneo ambayo mimi kama mkazi wa Dar es Salaam niliyozoea maisha yake ya pwani, nilifunzwa mambo mengi hasa kuhusu vyakula hasa hasa Samaki. Nikiwa Dar es Salaam...
  7. Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  8. Mvua kubwa yanyesha Bukoba na kusababisha hasara kubwa

    Mvua hiyo kubwa imenyesha leo katika Manispaa ya Bukoba na kuwaachia hasara kubwa wananchi wengi hasa walio karibu na mto Kanoni. Nyumba nyingi zimezingirwa na maji, huku maeneo mengine nyumba zikiwa zimeezuliwa paa kutokana na upepo mkali. Moja ya nyumba ya ibada iliyopata madhara hayo ni...
  9. Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  10. Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  11. Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  12. TANZIA Padre wa Jimbo la Bukoba Afariki kwa Ajali ya Pikipiki

    TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa...
  13. DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal. Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
  14. DOKEZO Niliyoyaona leo Ziwa Victoria muda si mrefu yatajirudia ya MV Bukoba au MV Spice Islanders

    Habarini wanajukwaa, Leo nilikuwa navuka na kivuko cha MV Kamanga upande wa Kamanga katika Ziwa Victoria ilikuwa mnamo majira ya saa nane alasiri. Uwezo wa kivuko ni kubeba abiria 150 ila Kwa wanajamvi mliovuka leo idadi ya abiria ni kati ya 700-800! Huku ikiwa imejaza mizigo ya kutosha mpaka...
  15. R

    Ajali ya boti Bukoba, 28 waokolewa

    Inasemekana jana kwenye Kisiwa cha Kelebe, Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera boti iliyokuwa inatokea Ukerewe kuelekea Bukoba ilizama na kati yao 25 waliokolewa, huku mtu mmoja akiwa hajulikani alipo. Ikiwa imepita siku tatu bila ya mtu huyo kupatikana katika uokozi huo itachukuliwa kama amefariki...
  16. Panya wa SUA Wapata Majukumu Bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). Kauli hiyo imetolewa na...
  17. Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  18. Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama...
  19. Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  20. R

    Kumbukumbu Ajali MV Bukoba Serikali imejifunza Umuhimu wa Ubora Vyombo vya Kusafiria? Inawajibika vya kutosha kupunguza ajali nchini?

    Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio hili lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 800 limeendelea kuwa kumbukumbu mbaya na yenye maumivu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…