bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hotel au lodge nzuri Bukoba Mjini 30-50 chakula na club jirani

    Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wana Kizimkazi, Bukoba ina Nyamukazi, wahaya hatujawahi kuchelewa

    Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha. Munyegere
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

    Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
  4. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Waandikishaji daftari la wapiga Kura Bukoba Mjini wamepigwa pesa zao

    Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura. Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi Awaagiza Mwigulu & Bashungwa Ulipaji Fidia Bukoba Mjini

    DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Daraja la Kalebe na Kyanyabasa - Bukoba Vijijini

    SERIKALI KUJENGA DARAJA LA KALEBE NA KYANYABASA – BUKOBA VIJIJINI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inakamilisha taratibu za kuanza ujenzi wa Madaraja makubwa mawili ya Kalebe katika barabara ya Kyaka – Katoro – Kyetema na Daraja la Kyanyabasa katika Mto Ngono ili...
  7. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  8. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa kuweka kambi ya siku 3 katika Hospitali ya Wilaya ya Bukoba

    📌 Kuweka Kambi ya Siku 3 mfululizo kuanzia kesho Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa, Wananchi wote mnakaribishwa. Huduma za Kibingwa ambazo zamani zilikua zinapatikana kwenye Hospitali za Rufaa, za Mikoa na Taifani pale Muhimbili, sasa miaka mitatu ya...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

    Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja. Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yaukumba Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera

    Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji Ijumaa, Mei 10, 2024 Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba. Muktasari: Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uwanja wa Ndege wa Bukoba ni hatarishi sana kwa marubani kutua na wanapaogopa mno?

    Nasikia kama kuna Kitu ambacho Marubani wengi wa Ndege nchini Tanzania hawakipendi basi ni kupangiwa route ya kwenda Kutua Uwanja wa Ndege wa Bukoba (Kagera) kwa Watani zangu na naambiwa wapo Marubani wengine Hujivunja (Hutoa Sababu za Uwongo) ili tu wakwepe na wapangiwe Wengine. Pia kuna Mtu...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mihogo ya Bukoba mitamu sana

    Hii mihogo ya Bukoba inatamanisha sana na very health
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

    Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote Duniani , Tumejipanga kuunganisha na matukio yote kutoka kote duniani . Usiondoke JF kwa Taarifa za...
  17. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Pambalu na Polisi ana kwa ana wakati akichukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

    Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda. hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato: Serikali imetoa Sh Bilioni 15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Bukoba

    Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Serikali Kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa Lami

    Serikali imepanga kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa kuanza ujenzi wa barabara ya Kyaka - Katoro - Kanazi hadi Kyetema yenye urefu wa kilometa 60.7 kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi na uwekezaji ndani ya Mkoa wa Kagera. Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania "Mkeka" wa Rais Samia wamuondoa Mkurugenzi wa Bukoba

    Rais Samia Hassan Suluhu amemteua Jacob Simon Nkwera kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Kabla ya uteuzi huu, Nkwera alikuwa Afisa Mwandamizi, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. Kutokana na uteuzi huo inamaanisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba...
Back
Top Bottom