bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. ichumu lya

    Bukoba: Maduka na biashara kwa ujumla zafungwa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkurugenzi ameamua kufunga maduka ya Bukoba Manispaa kutokana na mgogoro wa Leseni na service levy. Hali hii imetokana na aliyekuwa afisa biashara Richard kugushi vitabu vya Reciept na kutoa Leseni hewa lakini amekuwa akilindwa licha ya ushahidi wote kuwekwa...
  2. and 998 others

    Marubani wanalazimishwa Kutua Bukoba Airport?

    Inasikitisha sana. Yaan watu Wana mchezo na maisha ya watu aisee. Miaka 60 ya Uhuru bado maisha ya abiria yanawekwa rehani hivi?
  3. Mwande na Mndewa

    Uwanja wa ndege wa Chato ni chaguo sahihi la Bukoba

    Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
  4. Roy Logan

    Uwanja wa ndege wa Bukoba ulikuwa hatari tangu zamani, au changamoto imeanza siku za hivi karibuni?

    Habari za jioni wadau, nimeuliza hilo swali baada ya kuona post huko Instagram kutoka kwa Milard Ayo, unaweza kusoma alichoandika Mh.then tukajadili.
  5. figganigga

    Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mashujaa wasiofahamika ajali ya ndege PW Bukoba

    Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba. Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa...
  7. britanicca

    Tusirudie kosa Uwanja wa Ndege wa Bukoba Ufanyiwe maboresho haya

    Tunajua mzee Kato hakuwapenda wahaya maana walimuita mshuti kwakuwa wote walio hamia kutoka Bahima , Babito, Wanyarwanda na warundi wanaitwa washuti na kazi zao kubwa ni kufanya kazi mashambani, bahati mbaya mshuti alikuja akatoboa akawongoza mpaka wao! Kwanza akazima ndoto nyingi za mkoa ule...
  8. peno hasegawa

    Majaliwa Shujaa wa ajali ya Precision Air ya Bukoba atinga Bungeni leo Novemba 11

    Huyu hapa👇
  9. Dr Rutagwerera Sr

    Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  10. Nyankurungu2020

    Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  11. Analogia Malenga

    TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

    Ajali ya ndege iliyoua watu 19 kule Bukoba imeondoka na mmoja wa member wa JF Stekamba Dunia
  12. Shoctopus

    Ajali ya Precision Air Bukoba: Yawezekana IAMSAR Serikalini haipo au hawaitumii?

    Wana JF Awali ya yote napenda kuwapa pole wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege Bukoba ya 06/11/2022. Mengi yamesemwa kuhusu mazingira ya tukio la ajali kabla na baada ya tukio, hasa kuhusu operations za uokoaji na utendaji mbovu wa vyombo husika Serikalini. Na kwa taarifa yenu vyombo husika ni...
  13. Nyankurungu2020

    CHADEMA acheni uzandiki. Ina maana uwanja wa ndege wa Chato ungejengwa Bukoba ndio ajali isingetokea?

    Huu ni uzandiki usiofaa na usio na kipimo kabisa. Yaaani mnakuwa wanafiki na wazandiki
  14. GENTAMYCINE

    Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  15. Roving Journalist

    Uwanja wa Ndege wa Bukoba bado umefungwa. Huduma zaweza kurejea Ijumaa

    Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua. Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba. Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
  16. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  17. Roving Journalist

    Abiria wa Precision Air waliokwama Bukoba kusafiri leo

    Abiria waliotarajia kusafiri kwa ndege iliyopata ajali Jumapili nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, sasa wataondoka leo kuelekea Dar es Salaam na Mwanza. Wasafiri hawa ambao idadi yao ni 21 wa ndege ya Kampuni ya Precision, tangu Jumapili walikuwa Bukoba wakikaa hoteli ya ELCT...
  18. Mwl.RCT

    Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  19. Double line

    Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa. Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
  20. and 998 others

    PENDEKEZO: Bukoba Airport (Sasa iitwe Majaliwa Airport)

    Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
Back
Top Bottom