Hello 👋,.
Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,..
Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari
Kwenye kikombe chako kisafi utaanza kuweka sukari kijiko kimoja
Utafatia na kahawa nusu au robo kijiko,. Mie nliweka...