Brazil imeendelea kuweka rekodi ya vifo vingi kwa siku ya pili mfululizo baada ya kurekodi vifo 1,910 siku ya Jumatano pekee, huku watu 71,704 wakipata maambukizi mapya.
Hii ni baada ya vifo vya watu 1,641 siku ya Jumanne pekee, kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya ya taifa hilo, ikiwa ni...