Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Mkutano wa thelathini wa nchi wanachama wa Mkataba wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC COP-30), unaoendelea jijini Bélem, nchini Brazil kuanzia tarehe 03/11/2025 na unatarajiwa kukamilika tarehe 21/11/2025.
...
Wakuu nimekutana na hii video ya Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) akisema kuwa dunia nzima mwendokasi ipo Brazil na Tanzania tu. Hii imekaaje?
Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil.
Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years.
Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide.
The goal is to drastically reduce reliance on...
Brazil imekataa kuidhinisha uteuzi wa Gali Dagan, aliyewahi kuwa balozi wa Israel nchini Colombia, kuwa balozi mpya wa Israel nchini Brazil, na kuacha nafasi hiyo ikiwa wazi, vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti.
Hatua hiyo inaashiria kushuka zaidi kwa uhusiano na nchi hiyo ya Amerika...
Mkutano wa 30 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (COP30) unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mjini Belém nchi Brazil, ambao unatajwa kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utakaoweka ajenda kuhusu mabadiliko ya tabia nchi duniani kwa kipindi cha miaka 10 ijayo, muongo muhimu kabisa wakati dunia...
Watu trakibani wanane wamefariki dunia kutokana na ajali ya tufe la hewa (hot air balloon) katika eneo la kusini mwa Brazil, kwa mujibu wa Gavana wa jimbo la Santa Catarina, Jorginho Mello.
Kupitia ukurasa wake wa X, Mello alisema kuwa kulikuwa na watu 21 ndani ya tufe hilo wakati lilipoanguka...
Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga...
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.
**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. AFYA: Awe tayari kupima...
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu...
Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu.
Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko?
Wadau karibuni...
Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote ni guvu ya goli la mama
Mitano tena.
Wenye mamlaka mnaenjoy sana.
Mngejua hali ya huku chini basi tu.
Wanamahesabu tuambie approximately ilitumia kiasi gani
Siamini kama nakunywa gongo.
Nimemaliza.
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu
Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa Africa Mashariki
Sisi Rais Samia ameenda kujumuika na viongozi wakuu 20 wa Dunia, Kwanini...
Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege.
Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi
Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.