Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar.
Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii
Jambo la kusikitisha...
Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia, watenganishe na chama chako na kuwapandisha na kuwapa madaraka Kwa kuzingatia utendaji wao na siyo...
Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali?
Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000...
Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4.
Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake.
Vikwazo...
Mbaharia mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la kulipiza kisasi kwa uvamizi wa Ukraine.
Boti hiyo yenye urefu wa mita 48 sawa na futi 157 inayoitwa Lady Anastasia inamilikiwa na Mkurugenzi Mkuu wa...
Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 11 kuungua vibaya baada ya Boti kushika moto kwenye Bandari ya Ngafura iliyopo Mto Kongo. Imeelezwa, Boti hiyo ilikuwa na idadi kubwa ya bidhaa zenye kuwaka moto
Serikali Nchini humo imepiga marufuku abiria kupanda boti za mizigo lakini Wananchi...
Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi.
Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi.
Shahidi katika tukio hilo...
Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines.
Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa...
Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao.
Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni.
Sielewi ni kwa nini...
Takriban watu 48 hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria wapatao 60 kupinduka Pwani ya Kaskazini mwa Nchi hiyo. Abiria 11 ambao 8 ni Raia wa Senegal na 3 ni Raia wa Gambia wamekolewa
Kumekuwa na ongezeko kubwa la Wahamiaji wanaofanya safari hatarishi kutoka Barani Afrika...
Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika.
Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea boti zao.
Sasa inabidi kutumia njia mbadala za nishati kama jua,umeme au gesi asilia kuendeshea...
Wakuu, Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi walijeruhiwa. Wakati huo bi harusi hakuwepo katika sherehe hiyo.
Sherehe hiyo ilikuwa inafanyika katika boti moja katika mji uliopo karibu na mto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.