Idara ya Masoko ya Boss Kwezi imeendelea kuwa mfano bora wa ubunifu, uthubutu na kasi katika kusambaza taarifa muhimu kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa masoko umeongezeka, timu hii imeonyesha kwamba mbali na kufanya kazi kwa weledi, imejitoa kuhakikisha kila...
Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani.
Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia.
Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next...
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali...
Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na vitumbua kwaajili ya wachezaji.
Sasa wenzenu wanadaiwa B 87 mimi siwadai wananchi hata 100 na nawaongeza...
Wakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
Wakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
Wakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
Boss wangu
Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti..
Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea boss...
Ifike mahali Mo Dewj aache ulimbukeni, utoto na upumbavu wake. Kama hatoi ushirikiano mfukuzeni na hakuna kumlipa hata 100, tangazeni nafasi kwa matajiri wasio na pesa za mawazo. Si unajua pesa za ukoo zinazoidhinishwa na shangazi mtu ni ngumu.
Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.
Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na...
Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko wazi wakuu muda wowote
Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao, wameshusha mashambulizi mazito mnoo dhidi ya mama yetu mpendwa wakisema utawala wake umekosa mwelekeo na...
Hell
Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti
Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu...
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.
Haya yanajiri baada ya rais wa...
Salute kwenu Wana Lunyasi!
Niende kwenye Mada,
Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni.
Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
Naanza kutengeneza conspiracy theory, tunaamini Rais ndio Kiongozi Mkuu kabisa wa nchi, ambaye anapewa madaraka na wananchi. Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake.
Hii inamaana Samia amepewa...
David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi:
1. MAELEZO YA JUMLA:
Jina kamili: David (Dave) Barnea
Tarehe ya kuzaliwa: 1965
Nchi: Israel
Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa)
2. ELIMU:
Alisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.