bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Njia bora zaidi za kupunguza uzito 3-4 kg kwa mwezi kwa njia ya lishe

    LISHE BORA KWA AFYA Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako. 1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu na Mnyika siku zote mmrkuwa mkitumia nguvu na mihemuko mikubwa kwenye suala la Mbowe

    Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa kwa ishu ya mzima ya mbowe Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna bora ya kusherehekea Uhuru bila kuonesha silaha za kivita?

    Kuna jambo huwa linanitatiza sana kwenye hizi sherehe za kiserikali, uhuru au muungano. Yaani imekuwa ni kama formula kwamba uhuru lazima tuoneshe masilaha ya kivita na makomandoo wapite pale wakirukaruka. Mi nahisi, kuna kitu hakipo sawa kuhusu hili suala. Yaani ni kwanini sherehe za uhuru wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, kusherekea uhuru hakuna maana na bora siku hii iwe siku ya kazi tu kama siku zingine

    By Martin Maranja Masese kupitia twitter: Leo pia chakula kutoka kwa familia ya Freeman Mbowe kimekataliwa gereza la Ukonga. sababu zilizotolewa ni kwamba huo ndio utaratibu mpya na maelekezo yapo hivyo hadi hapo watakapotoa utaratibu mwingine. Kumbuka leo ni maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika...
  6. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

    Greetings! Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo ni kwamba Simba imekuwa timu ya 2 kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwa nyuma ya Mamelodi...
  7. JamiiForums Tanzania Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna aliyemuelewa vyema hapa Mchambuzi Oscar Oscar wa E FM na Tv E?

    Kaandika hivi: Muongoza Ligi yuko Mbeya na Mbeba Ubingwa yuko Dar es Salaam. Kazi Kwenu.
  9. JamiiForums Tanzania Kama mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam

    Ni ushauri tu, Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu, Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
  10. JamiiForums Tanzania Kitabu-Malezi bora ya mtoto wa kiume

    Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi. Kitabu ni ebook bei 4000. Simu na whatsapp 0756625286.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo stand up comedians wangu bora kwa sasa Tanzania

    Wasafi TV na programu yao ya cheka tu wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye Stand Up comedy Tanzania. Wamezalisha vizazi vipya. Kwa sasa hawa ndiyo comedians wangu bora kabisa. 1. Mc Madevu 2. Mc Eliud 3. Halleluya 4. Asma 5. Leonardo
  13. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  14. JamiiForums Tanzania Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

    Hii ni list ya magwiji mbalimbali wa Argentina na Brazil wanaocheza na waliostafu soka. Ukipewa nafasi ya kuchagua tatu bora utawachagua akina nani?
  15. JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kichina kwa Bei Rahisi kabisa

    Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi. Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri...
  16. JamiiForums Tanzania Marioo, Mfalme wa Amapiano Bongo, Ndiye Msanii Bora kwa Sasa, Hajawahi Kutoa Wimbo Mbaya

    Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali. Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa: 1. Dar Kugumu 2. Yale 3. Manyaku 4...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Demokrasia na Utawala Bora

    Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora. Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani za kisasa zinauzwa Tanzania

    TUNACHORA RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA TANZANIA NZIMA KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI LEO KWA WHATSAPP +255 717 040 837/ 0767 267664 UANZE UJENZI.
  19. JamiiForums Tanzania Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

    Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania === Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Aaron Ramsdale na save bora ya msimu

    Golikipa wa timu ya Arsenal, Aaron Ramsdale ameokoa mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na James Maddison nje kidogo tu ya eneo la 18. Save hiyo ya Aaron Ramsdale ndio inasemekana kuwa save bora ya msimu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…