bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Holding midfielders bora kuwahi kutokea katika NBC premier league

    1.Jonas Mkude 2.Kanoute 3.Tadeo Lwanga 4.Mzamiru Yasin Uzi tayari...karibuni
  2. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mwanajamii bora mpaka ujamiiane?

    Kwa wale wataalamu wa masuala ya jamii ni sababu ipi inapelekea watu wasiojamiiana kuonekana kama sio wanajamii bora
  5. U

    JamiiForums Tanzania Bora TANESCO Muache kutangaza makato ya umeme, maana ni kila siku

    Lazma mjielewe TANESCO Mtangaze msitangaze lazma mkate umeme, kitu kinachopaswa kutangazwa ni kile kinachotokea kwa nadra sana, Sasa nyie kila siku mnakata umeme, acheni kututangazia fanyeni kazi zenu ukiwepo sawa hata usipokuwepo sawa. Mnatumia mamilioni kila siku kutangaza makatizo ya umeme...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
  7. JamiiForums Tanzania Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

    Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA *********** NI WIMBO GANI BORA KWAKO, TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
  8. JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni bora kuwakosea wananchi lakini si kumkosea Rais

    Tulinganishe hizi kauli "Kama Hutaki kukatwa KODI, HAMIA BURUNDI"... tukilinganisha na kauli ya Jobu ni nani alipaswa kujiuzuru kwa maslahi mapana ya wananchi.... Hivi wananchi tunajielewa kweli?? Au tunapelekwa na mvumo Wa upepo unapoelekea.... Kiongozi gani au mwanachama gani CC alijitokeza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Moment kama hii JK angepiga ni upepo tu yatapita! Kiongozi bora JK

    JK kamanda wa siasa na uongozi wa utulivu, mwenye kifua na Moyo was kiume. Ninajifunza kwako. Ni upepo tu, yatapita
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi, TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
  12. JamiiForums Tanzania Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

    Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo. Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
  13. JamiiForums Tanzania BBC Swahili: Zuchu ndio msanii bora wa East Africa 2021!

    How do you find it guys!!? Mi binafsi nakubaliiii. Haappy New yearrr to u alll. Love U === Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza. Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva. Mwaka uliopita...
  14. JamiiForums Tanzania Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

    Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni ADSTERRA huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1...
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Uyole Hybrid UH 6303 - Mbegu bora ya mahindi ukanda wa juu siku zote.

    RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303 Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe. Mavuno mengi magunia 30 kwa eka. Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi. Bei: sh 4,500 kwa kilo. Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja Tupigie 0755325442
  17. JamiiForums Tanzania Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

    Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
  18. JamiiForums Tanzania Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

    habari ndugu. Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana, Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo ndio wizara mbovu kuliko zote awamu hii ya sita, ni bora ifutwe tu!

    Hii wizara ipo Kama haipo. Tunaelekea January Bei ya mbolea nikama tunanunua dhahabu, haijawahi tokea tangia uhuru.naona wanakula kiyoyozi tu hapo wizarani. Nimepita sumbawanga vijijini watu wanauziwa mbolea 150000"watu wameamua kuachana na kilimo Cha mahindi wanalima maharage kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani bora zaidi ulichokiona kwenye mitandao leo?

    Hii imetokea Nigeria. Mlinzi wa bank alipata ujasiri na kumfikia Meneja wa Benki. Na kwa ujasiri akamwambia kwamba yeye ni mhitimu na angependa kushiriki katika "Aptitude test" kwa nafasi iliyo wazi. Boss alikuwa mkarimu sana na akamruhusu kushiriki mtihani. Kwa kuwa, lilikuwa jaribio la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…