Ongea kitafiti mkuu!yaani umeropoka tuh apo.Kwa wale wataalamu wa masuala ya jamii ni sababu ipi inapelekea watu wasiojamiiana kuonekana kama sio wanajamii bora
Ni lazima kisheria ?Labda wawe na matatizo ya kiafya,,,kujamiiana muhimu mkuu yaan lazima
No inatokea automatically mkuuNi lazima kisheria ?
Mwache ivoivo anajifanya mgumu kuelewaHivi hapa mnajadiliana kuhusu nini?
Au mshalewa?
Ila hamaanishi ivo mkuu...amaanisha kushirikiana na jamii"Sexual intercourse is measure of manhood or womanhood."
Nilimsikia lecturer mmoja akisema hivyo.
Unaweza ukaishi bila k#t@mb@n@ ukaomekana ukosawa kwenye jamii?..Hivi hapa mnajadiliana kuhusu nini?
Au mshalewa?
I can teach you,but you have to follow me..😊Hivi hapa mnajadiliana kuhusu nini?
Au mshalewa?
mleta thread umewapatia kweli watu maana nusu nzima ote wanajua unaongelea ngono wanafunguka tu.Kwa wale wataalamu wa masuala ya jamii ni sababu ipi inapelekea watu wasiojamiiana kuonekana kama sio wanajamii bora
Dhambi za kujitakia hii! Ha ha haa,tumeibadili mada yake mazima😂😂😂😂😂sasa utaishi kama jogoo la kuchora hadi lini????
Iko hivi.. vile ambavyo tumeumbwa na Mungu wetu mtakatifu aliketi mahala pakuu paliko inuka.. alituwekea viasilia ndani yetu yani mwanamke na mwanaume ili pasipo yeye kutuambia tukajikute tumeijaza dunia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wale wataalamu wa masuala ya jamii ni sababu ipi inapelekea watu wasiojamiiana kuonekana kama sio wanajamii bora
Tumeelewa mkuu,tulipata pa kujimwambafaimleta thread umewapatia kweli watu maana nusu nzima ote wanajua unaongelea ngono wanafunguka tu.
Jibu ni ndio unaweza kuonekana bora vile vile kwa kutokujamiana na watu kwenye jamii hasa kwa nyakati hizi ambazo kila mtu ikifika asubuh anatoka kutafuta na kurudi jioni kama siyo usiku.
Njia pekee ya kujamiana na jamii inayokuzunguka unaweza kumtumia kijakazi wako au mtu yoyote ambae anashinda nyumbanj kukuwakilisha mtaani kwenye masuala ya michango,sherehe na vinginevyo kwa kumpa yeye hyo michango awe anapeleka na hata kusambaza taarifa kam kuna msiba au sherehe kwako.
Japo salamu kwa wakubwa na wadogo ni muhimu pia fanya yote ila usijionyeshe kunata bali be bussy tu
😂😂ndo mpangoIko hivi.. vile ambavyo tumeumbwa na Mungu wetu mtakatifu aliketi mahala pakuu paliko inuka.. alituwekea viasilia ndani yetu yani mwanamke na mwanaume ili pasipo yeye kutuambia tukajikute tumeijaza dunia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa baada ya Kutambua mema na mabaya na kufukuzwa Eden uleuumbaji wake hakutunyang'anya.
Kwa mfano wadudu kama nyuki walipewa Pheromones ambazo humvutia mwanaume kipindi ambacho yai lipo tayari.
Sasa Kwa binadamu aliweka Kwa wanawake Matako makubwa,Mahips,matiti na harufu flani hivi ya K wenzangu marijali wananielewa hapa.. niliwahi ishi na mwanamke muda mrefu ilikuwa kipindi akiwa kwenye siku za hatari kuna harufu flani hivi.. aisee nirushie hapa tuu
Kwa kumalizia binadamu kuishi bila hayo matendo utakuwa haupo Sawa kisaikolojia au kibailojia.
Kumbe nawe mkorofiKwan hao wanajamii watuaje kama ujamiani? Ama anaejamiana ana wekewa alama usoni?
Ebu ama kwenye hilo danguro usije kufa