bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

    Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
  3. JamiiForums Tanzania Mungu ni muandaaji na muongozaji bora wa filamu za maisha yetu

    Leo 12:15hrs 19/06/2022 Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwajui majina Yao Ila nafkri hii ndo commedy Bora kabisa Kwa Afrika Kwa sasa

    Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii inafanya mtu yeyote duniani anaweza kuwaelewa ,...wabongo tunakwama wapi aisee, jamaa naona wanazidi...
  5. JamiiForums Tanzania Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kuwawekea mazingira bora ya biashara Machinga

    Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
  7. JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Habarini za wakati huu? Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato uzuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi nafasi kazi ya ukufunzi au Tutorial Assistant. Historia inaonesha kuwa wale wote waliokuwa maprofesa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ni bora wanyama wauzwe wote ili wenzetu wamasai wawe salama!

    Kuna faida gani sisi kuwa na wanyama pori ambapo wanasababisha mateso na hata vifo Kwa binadamu wenzetu? Tunaiomba wizara husika, iendelee na mpango wa kuwauza na kusafirisha wanyama wetu kwenda huko wanakohitajika ili tu sisi tuwe salama! Kwanza, tangu nimezaliwa sijawahi hata Kuonja utamu wa...
  9. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kina dada kuweni makini si kila mwanaume ni bora wa kuishi naye

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi. “Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
  10. JamiiForums Tanzania Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo bora wa mwaka 2022

  12. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Sole Proprietor vs Company, kipi bora?

    Wana Jamvi, nimeulizwa hili swali na mtu, nikawa sina uzoefu sana, hasa kiutendaji. huyu mtu anataka kuanzisha biashara, na anataka kufungua kampuni, and at the same time ameshauriwa kuwa its more or less the same akifanya biashara kama sole proprietor kwa kusajili jina la biashara kupata leseni...
  14. JamiiForums Tanzania Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

    Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa? Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni kifurushi gani cha UTT ni bora kwa June 2022

    Ndugu wadau, wengi wamekuwa wakinishauri niwekeze akiba yangu UTT lakini hawanipi taarifa muhumu hasa kwenye gawio linalopatikana kwa vifurushi mbalimbali vya UTT. Ndo najiuliza kwa sasa June 2022, ni mfuko gani wa UTT unalipa gawio vizuri kuliko mwingune ,je ni liquid au bond au umoja? Bado...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Nangasu Werema, Bajeti ya Wizara ya Utalii 2022/2023, ni bajeti bora. Tujiandae kupokea Watalii

    Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia. Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi kumi bora za kufanya uwekezaji Afrika mwaka 2022 Tanzania imo

    Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu. Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

    Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo. Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
  20. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Viongozi wa Afrika kupiga Simu katika Matamasha na Kupongezwa ndiyo Ishara ya Uongozi wao Bora?

    Ukiona Kiongozi wa Afrika unasifiwa sana na Wewe ukakubali Kusifiwa na Ukakenua Mimeno yako jua Umesanifiwa na Umedharaulika mno.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…