Accuracy superiority, nani mwenye silaha bora kati ya Urusi na zile za mabeberu hasa USA na UK?

Nkerebhuke

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
788
1,999
Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji wa silaha za ulinzi na kushambulia. Hapa tutaangalia ushindani wa hawa mafahari wawili yaani Urusi na beberu mkuu USA nani mwenye silaha bora kwenye uwanja wa medani, case study ni Urusi Ukraine war.

Russia anasifika kuwa na artillery bora zaidi kuliko zile za mabeberu hili limedhibitika kwa ugumu wanaopata ukraine kuvunja ngome za ulinzi za Russia kwenye annexed territory.

Lakini pia portable an't tank guided missile weapons kama St javelin zimeleta msiba mkubwa kwenye vifaru, APC na magari ya kijeshi.

Nakaribisha maoni ya wajuvi wa silaha kuleta fact kuona na wapi tunaweza kupata silaha bora kwa Sasa, kama huna uelewa hata kidogo tafadhali usichangie utaharibu mjadala.
 
HIMERS zimethibitisha kuwa,nje ya nuclear, Urusi wala hawawafikii Al Shabab kwenye uhodari wa vita.
 
Nisemalo ni hili

US hana mpinzani

Teknolojia bora kabisa duniani kila nyanja ni za kwao, sasa mtu kile kipengele anaongoza, usemeje kuwa Russia ampiku US wakati kwa macho yetu sote tunaona hata Russia mwenyewe anaitegemea zaidi Ulaya na US kwa ajili ya tec.

Russia anaagiza tec nyingi kutoka nje,utashindana vipi na mtu ambae tec nyingi unamtegemea?

Tuacheni utani jamani, US ni kitu kingine.

Naomba tusizungumzie kipengele cha Uchumi ktk kukuza Tec maana itakuwa ni kama tunaifanyia dhihaka US.
 
Sio kijeshi wala kiintelijensia wala kiuchumi au kisiasa. Russia hakuna anapomfikia US.

US kupitia CIA ndiye aliyeivunja USSR.

Embu tuacheni mzaha jamani kuipambanisha US na Russia.
 
Back
Top Bottom