bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Yanga SC haikuwa na Wasemaji bora, ila Mimi ndiyo Msemaji niliyekuwa nikitakiwa muda mrefu

    "Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters ) Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno...
  3. JamiiForums Tanzania Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    Wakuu habari...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

    Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
  6. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu 15 bora zaidi duniani na ada zake

    1. Harvard University (US) Chuo Kikuu cha Harvard ni chuo kikuu cha utafiti cha Ivy League cha kibinafsi huko Cambridge, Massachusetts. kilianzishwa mwaka wa 1636 kama Chuo cha Harvard na kutajwa kwa mfadhili wake wa kwanza, kasisi wa Puritan John Harvard 2. Stanford University (US) 3...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

    Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma." Hawa 6 kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

    Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi. Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye...
  9. JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba bora tz

    Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili ya kuchukulia kibali za ujenzi manispaa kwa bei nafuu sana Tunakufikia mikoa yote Tanzania Wasiana nasi leo kwa simu / whatsapp 0717 040 837 au 0767 267664
  10. JamiiForums Tanzania Nuru bint Sudi ''MaUTP ''Wana Majambo TANU Wanaichukia,'' (1957) Hadi ''Chukula Bora Shambani'' (1967)

    NURU BINT SUDI KUTOKA ''MAUTP WANA MAJAMBO TANU WANAICHUKIA'' (1957) HADI ''MAZAO BORA SHAMBANI'' (1967) Nuru bint Sudi katika wakati wake alikuwa mwimbaji nguli wa taarab kwanza na Al Watan kisha akahamia Egyptian. Hii ilikuwa miaka ya 1950 wakati harakati za TANU zimepamba moto wakipigiania...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Mwanademokrasia bora

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia. Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

    Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali. Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Natafura mfumo bora wa ukusanyaji kodi katika nyumba za kupanga

    Wakuu salamu. Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga. Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

    Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap 1. Nacha 2. Stamina 3. Young Lunya 4. Chid Mentary 5. Tommy Thomas
  15. JamiiForums Tanzania Turudi Nyuma Kidogo

    Jamaa alionywa lakini
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Je, ni elimu bora au bora elimu?

    Itakuwa ni jambo la kustaajabisha endapo hata kwa bahati mbaya haujawahi kukutana na moja ya msemo miongoni mwa misemo ifuatayo: “elimu ni ufunguo wa maisha”, “elimu ni mwanga”, “elimu ni ukombozi”. Ninapata nguvu ya kueleza hicho nilichoeleza kwa maana misemo hiyo michache na mingine mingi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jenga uchumi imara kwa maisha bora

    Uchumi ni mali iliyopatikana kutokana na mali za nchi au watu. Vitu viwili vikubwa vinavyoweza kumsaidia mtu kufikia malengo yake kiuchumi na kimaisha ni Nidhamu binafsi na Nidhamu ya maisha; lakini huwezi kutengeneza nidhamu ya maisha bila ya kuwa na nidhamu binafsi. Nidhamu binafsi ni uwezo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu bora na bora Elimu

    Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu. Watu wengi husema Elimu bure sio Elimu bora, Elimu ya gharama ndio Elimu bora. Je ni kweli? Wazazi wengine watumia gharama...
  19. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    UTAWALA BORA Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…