bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kevin Carter alijiua baada picha ya kusikitisha aliyompiga mtoto akiwindwa na Tai kumpatia tuzo ya Picha bora (Pulitzer Prize)

    Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika picha, alikutana na mtoto dhoofu mwenye utapiamlo aliyekuwa akikabiliwa na njaa kali pamoja na kiu...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

    Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi. Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili...
  3. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
  4. JamiiForums Tanzania MO CARGO: Kampuni bora ya kusafirisha mizogo China, Dubai na India

    Habari za muda wadau, Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma nzuri sana na consolidation yao ipo kwa kiwango kikubwa mno, hawadanganyi wateja wala hawaongezi...
  5. JamiiForums Tanzania JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

  6. JamiiForums Tanzania Maisha ni mfano wa mashindano ukilielewa hili Jambo Basi utakuwa Mtu Bora Sana

    Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU). Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  8. JamiiForums Tanzania Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

    Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa. Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
  9. JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka! Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa. Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha Bora na Mbwa: Jinsi Wanavyotufundisha Kuwajibika, Kuwa na Uvumilivu, na Kuonyesha Huruma

    Utangulizi: Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita? Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu? Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

    Jamiiforums kisima Cha maarifa. Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  13. R

    JamiiForums Tanzania USHAURI: TRA, Rudisha na kusanya Kodi ilojulikana maarufu kama Kodi ya machinga Kwa mfumo Bora

    Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi ya lak 8, akalipa umeme, service levy, mshahara wa wafanyakazi, maji, taka, akabaki na pesa kulipa...
  14. JamiiForums Tanzania TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

    Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA. TPA wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha inaonekana bora zaidi bila daladala

    Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala. Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala. Ni wakati sasa wa mamlaka...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais TLS: Uongozi wa Rais Samia umejaa Utu na Utawala Bora

    "Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na kutekeleza mipango yakujenga Taifa letu kuwa bora na imara kiuchumi na kijamii. "Tanganyika Law Society...
  17. JamiiForums Tanzania Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  18. JamiiForums Tanzania Timu bora imechukua ngao leo hayo mengine mnajifariji tu

    Simba sc mnyama hatari kafanya yake leo, na ndiyo timu kubwa zinavyobeba makombe. Eti oooh tumeupiga mwingi, sasa kama umecheza vizuri umeshindwa vipi kufunga magoli, ukweli usemwe leo simba waliingia kwa ajili ya kubeba hiki kikombe na wamefanikiwa. Nyie mlioingia kwa ajili ya kutandaza...
  19. JamiiForums Tanzania Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu

    Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
  20. JamiiForums Tanzania Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…