MO CARGO: Kampuni bora ya kusafirisha mizogo China, Dubai na India

ikhlas

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
1,038
1,278
Habari za muda wadau,

Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma nzuri sana na consolidation yao ipo kwa kiwango kikubwa mno, hawadanganyi wateja wala hawaongezi charges zozote mpaka unapata mzigo wako.Wanajiheshimu na wajua kazi yao, huna stress muda wote wana ku up date.

Ila kipengele kinacho nifuraisha ni kuwa ukiwapelekea mteja wanakupa commission hata kama na wewe umeagiza mzigo kama wao. Wanakuchukulia kama part of their family.

Hawa jamaa wapo Jengo la Ushirika tower Mnanzi mmoja. Mizigo yote wanasafirisha. Huu ni ushuhuda wangu maana vishoka na ubabaishaji hasa wa kuchelewesha mizigo ya wateja umekuwa mkubwa mno.

Nendeni Mo Cargo kwa huduma za Uhakika bila upotevu wa mzigo wako.
 
Hakika.. mpo vizuri sana mzee su... huwa napenda anakufanya kuwa part ya company... waungwana na wakarimu sana.. huduma safi kabisa
 
Ukitaka wakununulie na kukusafirishia mzigo wanafanya hivyo au kusafirisha tu ?
Wanafanya kaka,tena kwa uaminifu sana na ndo kazi hasa iliowapa jina, hata kksaidia jinsi ya kupata bidhaa nzuri kule China, Unalipa kidogo xn mzigo ukifka unamalizia.Kama upo interested come PM
 
Back
Top Bottom