bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji mafundi bora wa vigae (tiles)

    WEKA TILES KISASA NA KWA UBORA WA HALI YA JUU! Tunatoa huduma za kuweka tiles za kisasa kwa nyumba, ofisi, migahawa na maeneo mengine yote. Tuna uzoefu, kasi, na tunazingatia ubora! Bei ni rafiki kwa mteja—huduma ni ya kitaalamu! Piga:0683336444 WhatsApp: 0784075326 Dar es salaam Huduma bora...
  2. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM - Upinzani hautakufa na Bora kuishi na mpinzani unayemfahamu kuliko ajaye usiyemjua!

    Tangu mwaka 1995 mpaka Leo CCM imekuwa ikihangaika na kuua upinzani. Walianza na NCCR na kufanikiwa kuiua. Kwa bahati mbaya ikaibuka CUF ikawa na nguvu mpaka wakasingiziwa kufanya siasa za ugaidi. Wakasingiziwa kuagiza matonteina ya majambia. Watu Zanzibar wakauawa, kwa mara ya kwanza Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  5. JamiiForums Tanzania Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  6. JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  7. JamiiForums Tanzania Tuna mchukia Magufuli lakini tusifikie hatua ya kuwa na upofu. Kwa hili ni mfano bora

    Kuna watu huwa wanachuki. Mtu atakuchukia hata ukitembea juu ya maji atalalamika unamtimulia vumbi. Hiyo ndo chuki ya watanzania. Jesca Magufuli alianza kusoma UDOM, almaarufu kama CHUO CHA KATA, baba yake akiwa Waziri aliyehudumu kwenye Wizara kibao. Akaendelea kusoma UDOM, CHUO CHA KATA...
  8. JamiiForums Tanzania Denis Nkane ni Bora kuliko Ikangalombo

    Huyo Ikangalombo amekuja Yanga kubana nafasi tu za vijana wetu akina Nkane Nkane ni mzuri zaidi ya Ikangalombo Nkane ana skills za football Nkane ana speed Nkane ana akili Anajua ku cut in kuongeza namba ya viungo na washambuliaji inapotakiwa, Ikangalombo anakimbia kama amekatwa kichwa au...
  9. JamiiForums Tanzania TISS ya Burkina Faso Bora Africa

    Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa. Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa ustadi na mbinu ya aina Yake Kwa kufichua mbinu ovu za CIA, Mi6 pamoja na ufaransa na kuzuia kumwangamiza...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kufuatilia sana Nimegundua Mungu yupo ,ila hakuna dini wala dhehebu lililo bora kuliko lingine .Mungu ni mmoja tu

    https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona . Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je! Dini bora ni ipi zaidi ya ubinadam(humanity)?

    Ni haki ya kila binadamu kuishi, kuheshimiwa na kuishi kwa amani. Cha ajabu watu wanaojifanya wako na dini sana ila hawana ubinadam. Leo Papa amefariki, moja ya msingi mkubwa aliokua akisimamia ni ubinadam, aliamini katika utu, ukarimu na amani. watu wwalimsema sana kutokana na kauli zake...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga inategemea Simba kupata wachezaji Bora

    Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia. Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
  13. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mbolea bora msimu huu wa kilimo

    Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

    Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado. Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa Wanapaswa kutambua wanajeshi...
  15. JamiiForums Tanzania Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako .

    Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako . Hizi waweza kuzitumia katika uji Waweza kutumia katika Mboga Waweza kutumia katika Chakula Kama kupika mihogo , ndizi kwenye Mapishi: unaweza kuiweka katika Nyama, kande, Mboga za Majani na hata kupaka juu ya Mkate. Bei ni kuanzia elfu...
  16. JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  17. JamiiForums Tanzania Tanesco walimpenda Mkurugenzi wao,wasema bora angefula fulani

    Wafanyakazi wa Tanesco walimpenda sana bosi wao,wamesikika wakisema bora angekufa nanii..... Ishi na watu vizuri
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bora Uishi karibu Kodi kubwa ama mbali na nauli kubwa

    Maoni yako Tafadhali
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ni moja wa ushauri bora niliwahi kuona mtu akipewa JF. Yani uko simple na precise ila unafikirisha.

    👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 BALENSIAGA 🙌🏿🙌🏿
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…