TISS ya Burkina Faso Bora Africa

TISS ya Burkina Faso Bora Africa

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,251
Reaction score
20,488
Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa.

Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa ustadi na mbinu ya aina Yake Kwa kufichua mbinu ovu za CIA, Mi6 pamoja na ufaransa na kuzuia kumwangamiza kijana wetu Ibrahimu.

Nyau de adriz
 
Huyo siku yake bado lakini inakuja na haiko mbali. Huyo kijana ana kiu ya kutawala tu na inavyoonekana anataka awe rais wa maisha kitu ambacho kwa dunia ya sasa haitawezekana.
 
Umejuaje kama anataka kua rais wa maisha? Hana hata miaka 3 madarakani, kule Indonesia yule mama hataki hata uchaguzi, anataka ajiteue kua raisi kwa miaka mingine na hamsemi!
 
Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa.

Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa ustadi na mbinu ya aina Yake Kwa kufichua mbinu ovu za CIA, Mi6 pamoja na ufaransa na kuzuia kumwangamiza kijana wetu Ibrahimu.

Nyau de adriz
Hukua na haja ya kutaja TISS hapo ungesema ANR basi au ungetafasiri ANR tu lakini mi binafsi nimekuelewa kwann umeitaja hapa hiyo TISS haya bana kunywa maji kwanza
 
Back
Top Bottom