bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  2. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alinusa harufu ya kiu ya Katiba bora

    Muktasari: Suala hilo la mwisho ndio linalozungumzwa sana katika kipindi hiki ambacho mchakato wa Katiba umekwama na hakuna dalili za kuendelea huku wanasiasa wakilalamika kuwa kuna uendeshaji nchi usiozingatia maridhiano hayo ya wanajamii. Kuna wakati alitumia hafla kuzungumzia Muungano...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kuweza kwenda Sweden

    Wakuu habari! Aisee mna ushauri au mawazo gani kuhusu jinsi ya Mtanzania kwenda Sweden kucheki maisha.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  6. JamiiForums Tanzania Alex Luambano ndiye sports anchor bora kwa Tanzania

    Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM. Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji. Vilevile jamaa anajua kuanzisha mijadala motomoto ambayo huwapa nafasi wachambuzi aliokuwa nao kufunguka vizuri...
  7. JamiiForums Tanzania Kulala peke yako ni bora kuliko kulala na mtu anaelala na mtu mwingine

    Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi... Endeleeni kupendana
  8. S

    JamiiForums Tanzania World Footballers Award 2024-25: Karibuni mchague wachezaji na kocha wenu bora wa msimu ulioisha Katika dunia ya mpira.

    Vote for your best player, youngster, goalkeeper and coach. For the 2024-25 World Footballers Award.
  9. JamiiForums Tanzania Polepole alishaona "He is Going Nowhere", hivyo bora ajipe kadi nyekundu lakini itakayoacha madhara kwa golikipa.

    Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team". Bashiru nje❌ Majaliwa nje❌ Ndugai nje❌ Mpango nje❌ Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region! Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa 2020. Kifupi CHADEMA wanasahau sana na ni wepesi kuwa deceived. Polepole anaondoka kwa maslahi yake...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe?

    Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe? Na mwandishi wetu Vunjo Tarehe: 13 Julai 2025 Katika kile kinachotajwa kama moja ya michakato migumu zaidi ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa miaka ya karibuni, Jimbo la Vunjo limegeuka...
  12. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatujitaji kutumia nguvu nyongi kwenye huu usajili,tuna kikosi bora cha kwanza kutupeleka fainali Club Bingwa

    "Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania...
  13. JamiiForums Tanzania Jipatie Simulizi bora za kijasusi

    UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO 1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA.....4000 2. I WANT TO DIE JUDGE....4000 3. GEREZA LA HAZWA....5000 4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)....5000 5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72....4000 6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa: – KG 1 hadi Advance Level – NECTA, Cambridge & International Curriculum – Home Schooling, Special...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

    Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wanaitegemea CCM Kuwaletea viongozi bora

    Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025. Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
  18. JamiiForums Tanzania Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  19. S

    JamiiForums Tanzania Luis Enrique na Antonio Conte ndio makocha Bora duniani kwa Sasa wanaoweza kumbadilisha mchezaji kutoka chini na kuwa bora sio Fahdu Davis

    Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye wachezaji wawili TU wanaojulikana sana Dembele na Hakeem. Wachezaji kama akina Vitinha alikuwepo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Pichani Chakula bora kabisa cha askari wa Kiyahudi

    Shalom
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…