bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Bora China kuliko Makonda

    Naamini huyu dada chinaa angawafaa wana Arusha kuwa mbunge wao kuliko huyo laghai Makonda.
  4. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku unakua bora zaidi ukianza wiki yako na Fuga App

    Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu gharama za kufuga kuku aina yoyote. Pakua Fuga App Leo Bure kabsa Playstore...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Njia Bora ya kushinda ni kumdhoofisha mpinzani wako"

    "The best way to win is to weaken your opponent(s)". Hii ndio mbinu wanayotumia mataifa makubwa kama Urusi kupambana na maadui zao wakubwa kama Marekani kwa kuwapora majajusi wao Bora. Mbinu hii pia ilikua inatumiwa na viongozi wa Simba SC kipindi kile Cha Hans Pope na Manara kwa kupora...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kuwa mfanyakazi bora huku yues ila GPA above ya 4.5 imenibeba

    Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania S2kizzy sio producer bora bali ni producer maarufu

    Dunia ya muziki wa Tanzania imekuwa ikipitia mageuzi makubwa kwa miongo kadhaa. Kila zama imezaa nyota zake – kuanzia wasanii, watunzi, waimbaji, hadi watayarishaji muziki (producers). Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kujianika hadharani na kujinadi...
  9. JamiiForums Tanzania JENEZA LA TAIFA : Riwaya bora ya Kiswahili

    Wakuu nimeonelea kushare nanyi riwaya hii Bora kutoka kwa mwandishi mahiri wa maabdishi bunifu aitwaye Maundu Mwingizi. Mwandishi wa riwaya hii anaisimulia kupitia ukurasa wake wa Facebook uitwao #Maundu Mwingizi. JENEZA LA TAIFA: [Riwaya iliyoshinda Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Sifa 22 za kiongozi bora

    SIFA 22 ZA KIONGOZI BORA 1: Kiongozi Ana Hoja sio Haja( Njaa) 2: Kiongozi Anaona Mbali Sio MBELE( Kuona Kwake Sio Mwisho Wa Pua Yake) 3. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 4. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sowah, usajili bora Ligi Kuu kwa vilabu vyote 16 kwenye dirisha hili!

    Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1). Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wikiendi hii chukua muda wa kuangalia hizi SPY MOVIES 6 na hautojutia

    1: THE GOOD SHEPHERD Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
  13. JamiiForums Tanzania Bora Tonetone ya Hiari kuliko Harambee ya Mabwenyenye na Walanguzi

    Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
  14. JamiiForums Tanzania Mechanical ya arusha technical na nit ipo bora

    Habr Kama kichwa kinavyo jieleza hapo naomba ufafanuzi mzuri kuhusu hivyo vyuo viwili
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza njia Bora ya kuwaangamiza Wanamtandao

    Wakuu mtandao ni mkubwa mno ni ngumu kuwadhibiti bila Mungu kuingilia Kati au wananchi wa kipato Cha chini kujitoa Muhanga na kuingia barabarani kitu ambacho Watanzania hawakiwezi. Sasa napendekeza njia Bora ya kuufuta mtandao ni kuungana na mtandao ili kujua kila hatua na kila mpango na kuja...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi Bora? Kumpenda mtu ambaye hajakupenda au Kumpenda mtu naye akakupenda mkawa kwenye mahusiano

    Ipi Bora wakuu? Kumpenda mtu ambaye hajakupenda na ukaumia kwa kutoweza kuwa naye au Kumpenda mtu naye akakupenda mkawa kwenye mahusiano na yakaja kuisha na mahusiano yakavunjika na ukaumia. Ipi bora?
  18. JamiiForums Tanzania African Internet Exchange System (AXIS) Project ilikua wazo bora sana, sjui kwann haliendelei

    Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Siasa bora na safi, hutumia Kanuni na miongozo

    Siasa siyo nguvu ya misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni . #Haijapatakutokea #KurayakwanzaKwaSamia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…