bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Nafuta nyimbo zote za wasanii wa bongo na kuunfollow page zao

    Kama NI burudani mlishanipa imetosha kwanza audiomack yenyewe inanilia Tu GB kwenye storage yangu nataka Tu nione kama maisha yangu hayataendelea bila mziki.
  2. JamiiForums Tanzania Bongo movie ya ACT part 2

    Monalisa ambaye kwasasa amevuliwa uwanachama na chama chake cha ACT amezidi kufunguka nakusema kitendo hicho chama chake kimefanya utoto huku akitoa siku mbili barua hiyo iweze kukanushwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaikumbuka Mitandao hii ya Bongo ya Miaka ya 2000s wewe ni legend mwenzangu

    kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo, Enzi hizo kuunganishwa internet uwe na simu ya mezani ya ttcl kupitia nyaya za nguzo zao. Hii ni mitandao iliyokuwa maarufu 1...
  4. JamiiForums Tanzania Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

    Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Ingekuwa bongo wangesema ni bangi

    CHAKUSHANGAZA Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
  7. JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wengi ni waoga, watu wa kuridhika na wabinafsi pia

    Comedians wote ni CCM, bongo movie wote ni CCM,wasanii wa muziki wote ni CCM, wachezaji wa Mpira wote ni CCM makundi yote haya ni nadra kuyasikia yakikosoa mambo mabaya yonayofanywa na CCM. Masanii haya yakikaa mbele ya media utasikia Sisi ni kioo cha jamii sijui wanamaanisha jamii ipi?jamii...
  8. JamiiForums Tanzania Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  9. JamiiForums Tanzania Chemsha ubongo kidogo

    Chemsha ubongo kidogo...... Wewe dereva wa basi..... Basi moja lililokuwa na jumla ya abiria 30 lilikuwa linafanya safari zake kutoka magengo kuelekea patwe. Baada ya mwendo kadhaa basi lilifika kituo Cha Kwanza na kushusha abiria 10 na kituo Cha pili wakashuka Tena abiria 8 na kituo Cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilikuwa naambia watu soka la bongo ni mazingaombwe na scheme wakaniambia najifanya mmarekani sana, aya sasa na bado mtaona mengi

    "I prefer not to speak, if i speak am in big trouble" -jose mourinho
  11. JamiiForums Tanzania Msanii wa Bongo flava Samiri abadili Dini

    Kwanini kubadili Dini kutoka Ukristo kwenda uislamu inakua story Sana?? Na kwanini kutoka uislamu kwenda Ukristo inachukuwa kawaida tuu
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa usajili wa timu yako ya Bongo na Ulaya taja Top 3 yako na timu moja unayodhani itashuka daraja

    Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi List yangu… 1. Man U 2. Liverpool 3. Man City Itakayoshuka daraja Arsenal Listi yangu ya Bongo 1. Simba 2. Yanga 3. Azam FC Itakayoshuka daraja Singida
  14. JamiiForums Tanzania Jumanne Kaseja ni akili kubwa na hakuna mtu anamuweza hapa Bongo

    Kelele ni nyingi Ila Jumanne Kaseja hakuna MTU anamuweza hapa Tanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu wa i phone 17 kuzinduliwa

    Ni mwendo wa viuongo vya watu fulni kuchakalika kisawa sawa 😁😁 Mabaharia washanielewa. Anyway jipatie mzigo mwezi ujao, kwa wale ambao hawana uwezo baki hivyo hivyo sio lazima 😁
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mwingine amezikinai hela ndogondogo kama Mimi kwa maana bongo tunapeana kwa masimango sana

    Wakubwa shikamooni hela zenu zenyewe za madafu bongo ila kuzipata mpaka mgombane mpaka mtu umnyekee mtu umlambe boss viatu.sisemi Nina majivuno wala kiburi ila nimezishika noti zenu na zinaisha haraka.. So, hapa na change plan naenda plan B ambayo NI kutafuta mwanya Fulani nipige hela ndefu...
  17. JamiiForums Tanzania Bongo Plus na Uchaguzi Mkuu 2025: Wanatafuta Historia ya Vijana wa Kale na Vijana wa Leo Katika Siasa

    Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo. Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara zangu Bora kwa sasa hapa bongo NI apartments, pool tables, saloon.

    Bado kuna upungufu mkubwa wa nyumba na lodge aisee wageni nchini wanazid kuingia mambo NI MENGI wachina na watu kutoka Mataifa wanamiminika kwenye miradi.imagine anakuja mchina anakuta Una nyumban hujamaliza kujenga yuko tayari kukupa hela uimalizie finishing wahamie.cake ya TAIFA iliwe kila mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Huu ukakasi umenikumbusha huu msemo: "Nilipokuwa mtoto nilikuwa masikini ila baada ya muda mrefu wa kufanya kazi kwa bidii mimi sio mtoto tena"

    Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh 0 ulio kuwa nayo Ofcourse maisha hayajawai kuwa marahisi, ila maisha ya bongo haya faidishi tena...
  20. JamiiForums Tanzania Chawa wa Bongo Movie, na Wasanii Uchwara hatuwaoni Wakitumbuiza Kwenye Kikao cha CCM cha Kubadili Katiba

    Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa? Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu. Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote. Chawa sijaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…