bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Chemsha Bongo!

    Prove 2+2=5
  2. E

    Katika cover zote nilizo wahi kusikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo

    Habari za leo wakuu, Katika cover zote ambazo nimewahi kuzisikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo.
  3. Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

    Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli NA WANGU KANURI MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas Mughwai Lissu hivi sasa amesema kuwa yupo tayari kurejea nchini Tanzania lakini kwa sharti moja kuwa...
  4. App/Software ya kuonyesha matokeo Bongo (NECTA)

    Habari wanajamvi, Natumaini tunaendelea vizuri. Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika. Naomba kujua kama kuna apps au systems au SMS shortcodes nk ambazo zimerahisisha hili, kiasi kwamba sina haja ya kwenda kwenye...
  5. Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

    Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
  6. Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

    Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule. Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
  7. Bongo sihami ng'oo!

    🤣🤣🤣Kwa burudani zote hizi nitahamaje sasa?😄
  8. New Multi-Billion Roads Breathing Life into Quiet Kenyan Towns

    Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years. According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency. All these projects...
  9. Bongo Flava ya sasa ni uozo mtupu

    Salaaam wakuu, Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto. Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa hiphop kina niger j na Mr.2 wakatengeneza njia wakaandika mashairi ya kuelimisha jamii na wengine...
  10. Kwanini mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni bila kutafsiri na kufafanua wakati lugha ya taifa ni Kiswahili?

    Habari wanajamvi, Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili. Je, washibiki...
  11. GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 na bao la mkono alilopiga Halima Mdee isiwe sababu ya kuponda siasa za Bongo

    Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
  12. Hivi hapa bongo kuna benki ya Kuwait?

    Wakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India! Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
  13. Kwanini ukiwa nchi za wazungu husikii njaa hovyo kama ukiwa bongo?

    Hello jf.. Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid. Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu. Kwa nin iko hivyo?
  14. Tamaa ya Pombe za bure inavyowaponza mabinti!

    Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi tunapiga tu Kama mwewe. Hakunaga habari ya kutulia na demu mmoja.
  15. Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  16. CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

    Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0. Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza. === #CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia. Zambia 2-0 Tanzania Sikombe 64' (P)...
  17. Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

    Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania. Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili. Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi...
  18. The Bongo Flava industry in Tanzania; Is still grow or decline?

    Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still growing or declining industry? Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
  19. Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

    Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji. Sasa hivi mkoa niliopo kulikuwa na sherehe mahali nami nikawepo hapo kulikuwa hamna pombe bali ni aina zote za...
  20. B

    Kwanini P Funk Majani mmiliki wa Bongo records hajihusishi sana na siasa?

    Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona mbali au ana maono ambayo ni zaidi ya siasa, je kumudu biashara zake na kutohusisha na siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…