Bongo Star Search: Sijaona alichokosea huyu kijana mpaka mumcheke na kumkejeli kiasi hiki

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,312
Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki.

Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote wakacheka kwa vicheko vikubwa na kejeli mpaka wakampotezea confidence dogo.

Hili limekuwa sio shindano bali ni sehemu ya kuwapotezea muda tuu vijana maana sidhani kama wako makini kupata vipaji sababu hawana concentration kabisa.

Halafu hawa wasng wadwanzi sana, muziki hawaujui wao wanataka jamaa atoe sauti ya autotune ndio wakubali

Huyo ommydimpoz mbona nyimbo zao wakiwa wana perfom jukwaani kwa mic wanakuwa na sauti mbovu na tunawavumilia?
Dogo yuko njema, sema kwa kuwa wana mtu wao walomwandaa ndiyo maana ukionekana una kitu special tuu wanakutanga na kukuzingazinga kwa mbele ili upoteze confidence.
 
Tangu Bongo Star Search umeanza imemuibua star gani? Harmonize? Au Nani? Wajitathmini.

Wale hawana impact yeyote kwenye tasnia ya muziki ni ubabaishaji tu
 
Sasa mtu hajui kuimba mnataka wamchukue? Huyo akapige tu gitaa
 
kosa la dogo ni kuimba key tofauti na gitaa lake.

japo hakustahili masimango kiasi hicho.
 
Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki.

Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote wakacheka kwa vicheko vikubwa na kejeli mpaka wakampotezea confidence dogo.

Hili limekuwa sio shindano bali ni sehemu ya kuwapotezea muda tuu vijana maana sidhani kama wako makini kupata vipaji sababu hawana concentration kabisa.

Kijana ana kipaji na yupo vizuri sana, shida ya vitu kama hivi wao ndo top and last say ingekuwa vizuri baraza la sanaa wakiwapa vibali vya kuendesha haya mashindano wafuatilie kwa ukaribu uendeshaji wao vinginevyo wanapotezea sana vijana muda.
 
Tangu Bongo Star Search umeanza imemuibua star gani? Harmonize? Au Nani? Wajitathmini.

Wale hawana impact yeyote kwenye tasnia ya muziki ni ubabaishaji tu
J4, Walter Chilambo na wengine wengi ambao walifanya vizuri ila walikosa management wakapwaya
 
Ila majaji wako makini Sana nawakubari Sana, watu wengi waliokuwa wanashiriki bss hawakujua majaji wanataka mtu waina gani na ndiyo maana watu wakawa wakienda kushiriki pale walikuwa wanakopi kuanzia sauti ya msanii husika kitendo ambacho majaji hawakitaki

Wao wanataka uimbe kwa sauti yako hata kama utakopi wimbo wa msanii mwingine ila imba kwa sauti yako mf bss ya mwaka 2012 Kuna jamaa alikua anaitwa Wababa alikuwa anakopi wimbo Hadi sauti ya msanii husika sawa nikipaji sasa hatuwezi kuwa na jozee kamilioni wawili au Diamond wawili tunataka tuone wewe utaimbaje wimbo w mbagara kwa sauti yako tunataka tupate flaver ya sauti nyingine mpya na siyo ile tuliyoizoe

Kwahiyo hicho ndicho wanachozingatia bss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom