bongo star search

  1. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Video: Cheki bongo star search ya Iran na Ayatollah ndio jaji

    Mzuqa! Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana. Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja. Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Leo ni final ya bongo star search

    Bongo star search imefikia hatua ya mwisho yaani final ya season ya mwaka Huu na tumeshuudia wasanii watano wakali wamebahatika kuingia kwenye final ambao ni meshack, Frank, leonard, Patricia na Patrick na Kati yao mmoja ndo ataibuka mshindi. Maoni yangu: mshindi namuona anaweza akawa Frank au...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hamisi wa Bongo Star Search uwezo wake mdogo

    Leo niliangalia marudio ya Bongo Star Search ya Jumapili nimeona kabisa huyo Hamisi uwezo wake wa kuimba ni mdogo sana wakati wenzake uwezo wao ni mkubwa. Na amshukuru Mungu kufika hatua ya 10 Bora, hakustahili kufika hatua hiyo. Ifike kipindi watanzania tuache unafiki pale Bongo Star Search...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Asante bongo star search kwa kumleta rayvanny

    Kitendo Cha bongo star search kumualika rayvanny Kama guest judge kimewafurahisha wengi nikiwemo mimi.Pamoja kwamba Rayvanny ni msanii mkubwa na mwenyekufanya vizuri lakini rayvanny ana kipaji kingine Cha uchekeshaji tangu bongo star search watangaze salama hatakuwemo msimu huu upande wa...
  5. EastAfricanTube

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Kichina Akiimba Kiswahili Kwenye Bongo Star Search

    Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata baadhi ya watu kuvutiwa na tamaduni au lugha hizo za kigeni na hatimaye kujifunza na hadi kuimba...
Back
Top Bottom