bonge

Dusti Bongé (née Eunice Lyle Swetman, 1903–1993) was an American painter who worked from the 1930s through the early 1990s. She is considered Mississippi's first Abstract Expressionist painter and its first Modernist artist.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

    Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Shukrani sana 'Bonge' wa Clouds FM

    Hivi karibuni, humuhumu JF, niliandika kwa kuuliza: Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?. Leo, asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast, mtangazaji 'Bonge' alikuwa na mazungumzo na wadau wa usafirishaji kwa mabasi makubwa. Hakika, wadau wanalalamikia kitendo cha...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Innocent Defendent moja ya Bonge la Series

    Hii ni korean drama iliyotoka mwaka 2017 ina episodes 18.katika series zangu Bora duniani hii inaingia kwenye Top 3 yangu si rahisi kwangu korean drama yoyote kuingia kwenye list ya best series of all time kwa upande wangu lakini hii kutokana na kuwa na ubora mkubwa na yenye kusisimua imeingia...
  4. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania THE CALL: bONGE LA MOVIE

    "THE CALL" bonge moja la muvi 2013, ni kitengo cha huduma za dharura 911 Los Angeles, wanapokea simu za matukio ya hatari jijini, halafu kuna huyu jamaa ana matatizo ya akili anateka wasichana wenye nwele ndefu zenye rangi flani anawapasua vichwa kwa uangalifu apate wigi la nywele hizo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Whozu ft Donat mwanza: Simba Noma bonge la wimbo

    chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI mzee m bad zee la bandari, wazee wa bandari meli hiyoo Poooohoooo. KUIACHA SIMBA EEHEEE KUSHABIKIA...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Salama wakuu, Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa. Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020...
  7. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Tanzania zhang jin ukipenda max zhang bonge la actor mwepesi like me nikikamata sparner

    Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu jing wanaujua moto wa huyu mwamba hata batista naye 😁😁 very amazing huyu mchizi yaani anakupiga...
  8. Tall Guy fam

    JamiiForums Tanzania Ibra classic vs Mmalawi ilikuwa ni bonge la mechi

    Habari wakuu, Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali. Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Mwenye Mkoa wake kaja na bonge la Mkwara na wala hatanii na Wamakonde nao wamesema wataondoka na Mtu

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameliomba Baraza la Mitihani nchini kukanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikisema shule kumi za mwisho kitaifa zinatoka mkoani Mtwara jambo ambalo si kweli na hivyo kuleta sintofahamu kwa mkoa na umma wa Watanzania. Taarifa: ITV Tanzania Hata hivyo Mpiga Mkwara Mkuu...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Quentin Tarantino ni bonge la director

    Huyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana. Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za kutisha. Nilikuwa naangalia Once upon a time in hollywood nikasema "afadhali hii aina violence za...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ulishawahi fanya ukajiona wewe ni bonge la shujaa?

    Binafsi sijawahi fanya tukio lolote ambalo lingenifanya nijione shujaa. Tuelezee ulifanya jambo gani ambalo lilikufanya ujione shujaa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya ya Wasanii Belle 9 na Bonge la Nyau, yawatakia uponyaji wa haraka!

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kimepokea kwa mshtuko taarifa ya ajali mbaya iliyowahusisha Wasanii Belle 9 na Bonge la nyau. Polepole amewatakia uponyaji wa haraka na kwamba chama kinafuatilia kwa karibu tukio na chanzo cha ajali hiyo. Source Ayo tv Maendeleo hayana vyama! ===...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  14. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Kwa walio oa na wasio oa naomba leo iweni wawazi, japo mtatoboa siri za wenzi wenu mnao wapenda, najua watatuwia radhi kwani nahitaji kujua. Kuna tofauti ati kati ya hawa wawili, wengine eti sijui wembammba wanahasira kuliko wanene, no proof. Kuna mengi ambayo yanasemwa mitaani, lakini najua...
Back
Top Bottom