bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kinyozi, mchomeleaji, bodaboda, mama ntilie,n.k. hulaza wastan elfu 10 kwa siku, mhitimu unaeogopa kuchekwa endelea kukaa nyumbani

    30 paaap !! "Nina vyeti nitapata ajira", "siwezi fanya kazi nje ya taaluma niliyosomea", n.k. ni jinamizi litalokulalia uchelewe kuanza life lako. Ajira hizo unazoziota zipo chache sana na connection zimerudi kwa kasi, awamu iliyopita ajira zilisimamiwa na idara ya utumishi angalau kulikuwa na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

    Kwema Wakuu! Nimeshawahi kuishi Mafinga mara kadhaa lakini sijawahi kuona baridi kama ya Juzi jumatatu tarehe 19. Dadeki baridi mpaka ukungu weñye barafu nyepesi ilikuwa inadondoka. Nimefika Saa nane Usiku nikitokea Dsm. Nilitamani nirudi kwèñye Basi, Aiseeh! Pale Stendi nikaona makundi mawili...
  3. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bajaji & bodaboda Authority inahitajika?

    Kwa kuwa latra wameshindwa kusimamia bajaji na bodaboda japo wanawapa leseni, kuna uhumuhimu wa kuwa na chombo cha kudimamia hawa vijana maana wasipo simamiwa na janga la taifa. Bajaji na bodaboda wanafanya kazi nzuri sana hasa maeneo ambayo mabasi na usafiri mwingine haufiki. Pia wanafanya...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na bodaboda

    Leo ukipelekwa Bugando umevunjika mfupa utapigwa ganzi na kufungwa mawe halafu unamsubiri daktari saa nyingine inazidi hata mwezi kumpata daktari kufanya operation. Japo ajali haina kinga lakini inauma sana kukaa wodini mwezi sababu ulikuwa na mbwembwe barabarani. Kama hauna milioni tatu...
  5. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Bodaboda zinatumaliza, abiria na madereva tuwe makini

    Salamu, Nimepata taarifa mbaya hapo makondeko Moshi, mzee mmoja kafariki na dereva hoi. Pia soma: Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Mimi nawashauri hawa madereva wawe makini hasa kwenye highway. Nasikia ukienda hapo KCMC kuna word...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! nanyi walezi na wazazi muwasihi.

    Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua. Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  8. Full charge

    JamiiForums Tanzania Bodaboda zinatudhalilisha sema basi tu hatuna jinsi

    Hakuna kitu kinakera kama kupakiwa mshikaki,kwanza kuna hali fulani si ya kupendeza unakuta mke wa mtu kakaliwa nyuma na jamaa pale lazima jamaa liskie joto lake au shanga zake na kuvuta hisia. Kero nyingine ni kile kitendo wanaume mnatangulizana halafu zote njemba hiyo kitu huwa siikubali hata...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi pikipiki zinavozidi kupoteza wapendwa wetu sijui kwanini serikali iliona kama ni biashara

    Nimepoteza mtu naye mfahamu leo huko Mwanza na mtumishi ambaye bado tunamuhitaji. Yote haya kila siku tukizidi kupoteza ndugu zetu na wengine kuwa walemavu wa maisha sababu ya hizi pikipiki. Serikali hakuna mazingira mazuri ambayo yamempa mwendesha chombo cha pikipiki husasani hawa bodaboda...
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

    Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
  12. Brojust

    JamiiForums Tanzania Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

    Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe. Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  14. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu kushuhudiwa likifanywa na bodaboda?

    Mwaka mmoja nilifika eneo moja hapo Morogoro, njia ya Dodoma kabla hujafika mizani, sasa mwenyeji wangu alinambia nikishuka kwa bajaji nichukue boda mpaka kwake, sasa kama kawaida bajaji umesimama tu boda kibao hizi hapa nikadandia moja chap nikampa maelekezo akaanza yafuata, barabarani jamaa...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wasajiliwe kama biashara rasmi wakiwekewa mazingira mazuri

    Bodaboda hesabu ni 7000 kwa siku akiamuka mapema akajihimu asubuhi Mpaka kufikia saa 4 ashafikisha hata 10000 mchana na usiku ana weza kufikisha 30000. Kama akicheza michezo yao ile ya kuwekeana hela kwa mwaka ana weza kununua bodaboda nyingine mbili ambazo ataajiri watu wengine. Bodaboda...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa maafisa Usafirishaji (Bodaboda) utafananaje?

    Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje? Madai ya Maafisa; 1. Kamata kamata ya trafiki, 2. Bei ya mafuta kupanda, 3. Mikataba na wamiliki,
  18. K

    JamiiForums Tanzania KERO Rushwa kwa bodaboda idhibitiwe, imekuwa kali sana

    Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea...
  19. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania SoC04 Abiria wa bodaboda wawajibike kulipa faini ya kutovaa helmet kama wanavyowajibishwa madereva

    Katika kuangalia usawa na udhibiti kwa ndugu zetu wanaoendesha vyombo vya moto vya pikipiki maarufu bodaboda nimeona tatizo halipo kwa madereva tu bali hata kwa abiria wao, mfano unakuta abiria anataka usafiri anapewa helmet ajikinge ama kupunguza madhara ya ajali endapo ikitokea abiria huyu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu asema Bodaboda wakipunguza matumizi ya pombe kama Sungura, ajali zitapungua pia

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutafuta mwarobaini utakaopelekea kupunguza matumizi ya pombe aina ya (sungura) zisizo na vipimo kwa baadhi ya madereva wa pikipiki...
Back
Top Bottom