bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Bodaboda - Jeneza linalotembea!

    Bodaboda ni jeneza linalotembea barabarani. Japo wanasiasa wanawapa majina ya kuwamotisha -MAAFISA USAFIRISHAJI- Muda wowote watu wanaweka turubai tayari kwa mazishi. #Tuchukue tahadhari# #Linda uhai#
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipozuia bodaboda kuingia mjini ilikuwa sahihi sana

    Sasahivi ukifika Kariakoo ni vurugu sana za pikipiki na Bajaji. Yaani ni mafuriko. Nadhani hizi Bodaboda na Bajaji zisingeruhusiwa kuingia Posta na Kariakoo. Mbona vile vidaladalq vidogo/Hiace iliwezekana kuvizuia kuingia Mjini? Au ni issue za kisiasa za kuogopa kukosa kura.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

    Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anifundishe bodaboda

    Natafuta mtu anifundishe bodaboda awe na bodaboda yake
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ishakuwa kawaida mtu ana degree kuwa bodaboda au barmaid

    Ndipo tulipofikia kama nchi watu wengi hasa dar ma barmaid fuatilia sana wengi wamesoma kama sio diploma basi wana degree.wengi sana kikubwa tu maisha yaendelee inawabidi wafanye hivyo.imagine mtu kamaliza degree ya education 2016 mpaka leo hana ajira je huu ni uungwana?
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Bodaboda, Wavuvi, Migodini makundi mapya kwa Maambukizi ya UKIMWI

    "Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe bodaboda wanashirikiana kuiba na kukwapua barabarani

    Kijana mmoja ameporwa simu barabrani tena kwenye service road wakati anaongea, bodaboda kaipitia kama kipanga, wakati jamaa anapiga kelele huku anafukuzia akakutana na kijiwe cha bodaboda mbele yake akawaambia naomba mmoja tumfatilie yule mwizi nitalipa hela yeyote, kwa mshangao wote pale...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  9. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

    Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shamira asikiliza kero za mama ntilie na bodaboda Singida ili kuzipatia ufumbuzi!

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama ametembelea wamama wafanyabiashara ya chakula “mama ntilie” pamoja na vijana wa boda boda katika soko la Msufini Singida Mjini. Shamira ameongozana na Mbaraza wa UVCCM Mkoa wa Singida Ndg. Amisa Msele, kamati ya...
  11. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kwa sasa inao bodaboda wangapi? Au pikipiki zipo ngapi Tanzania

    Swali linajieleza, je waendesha pikipiki tumefikia wangapi?
  12. Julius Husseni

    JamiiForums Tanzania Nina million na laki mbili, wapi napata pikipiki boxa used imara?

    Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda. Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Tuwaambie madereva wa bodaboda

    📖Mhadhara wa 19: Pole na hongera kwa kazi dereva wa Bodaboda. Kuzunguka salama na chombo cha moto kila siku ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Naomba leo nikuume sikio mambo ambayo yanapendwa na wateja (abiria) ambapo wewe bodaboda unapaswa kuyafahamu na kuyazingatia. Ili wewe bodaboda...
  14. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wazee ni wakoloni

    Wakuu,,.hawa ndugu zetu ambao wanaendesha bodaboda hali ya kuwa umri wao kidogo umesogea huwa wanakuwaga na ka ukoloni flani hivi. Leo nikiwa nimetokea kigamboni,niliposhuka na pantoni pale ferry nilipointiwa na abiria alie kuwa akielekea jengo la RITA Tower..,,niliposimama ili niweze kufanya...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Bodaboda na Bajaji: Hatutashiriki Maandamano ya CHADEMA

    Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti...
  16. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kununua bodaboda na kufungua salon

    Samahan wakuu hapo sasa kipi kitanipa pesa? Asanteni
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Picha: Bodaboda huwa wanawahi wapi?

    Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye hajahangaika hata kupunguza spidi yake, matokeo yake kasababisha hasara ya mali, afya yake na haraka...
  18. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

  19. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unashindwa kumnunulia mkeo au mpenzi wako hata IST mpaka anabambiwa kwenye bodaboda?

    Habari Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata IST usikubali kuwa lofa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kahojiwa EAST radio kasema anaingiza laki 9 kwa mwezi

    Bodaboda kahojiwa East Africa Radio kasema anaingiza laki 9 kwa mwezi. Hivyo anashauri msichague kazi. Ahaaa haaaa
Back
Top Bottom