Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye.
Wote ni watumishi.
Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara namuona kaibuka home.
Nikamuuliza umekujaje, akasema kampigia boda. Nikamuuliza ulipo text ukaona...