binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  3. JamiiForums Tanzania Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenye gari binafsi inayokwenda Bukoba sasa hivi

    Za muda huu wakuu, Naomba kuuliza kama kuna mtu anasafiri muda huu kutoka Dar kwenda Bukoba na anaweza kufika kesho by saa mbili asubuhi, kama yupo anambie tupo wawili tutalipa nauli kama kawaida lengo ni kuwahi tufike kesho by saa mbili asubuhi.
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa binafsi huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa

    Taarifa binafsi kama Jina lako, Namba ya Simu, Anwani na zile za malipo ya kifedha huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa, kwani ni rahisi kudukuliwa Kuwa makini unapofungua tovuti au 'Links' ambazo kwenye "https" hakuna 'S' yaani inasomeka "http" pekee. Weka nywila (Password)...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa sababu zangu Binafsi nakushauri Jina la Naibu Spika awe amepitia au amebobea katika maeneo haya Matatu tu....

    1. Awe ni TISS Agent 2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu 3. Awe Lawyer na Diplomat tu ANGALIZO Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland. Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva either kwenye kampuni au mtu binafsi

    Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
  8. JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Sekta binafsi ajira ni nguzo yako ya maisha sio by the way

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako inachukuliwa". Amefafanua "Nilishawahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar, wakati ule...
  10. JamiiForums Tanzania Shaka aambiwe hata kukosolewa Rais Samia ni uhuru wa maoni binafsi

    Huu upuuzi wa eti akikosolewa fulani ni kosa na hali ikiwa vilevile kwa mwingine eti ni uhuru wa maoni si sawasawa kabisa. Jana amenukuliwa Shaka msemaji wa CCM akisema wale wote walio mshambulia Ndugai eti wametoa maoni yao binafsi na ni uhuru wao. Ajabu kupitia huohuo uhuru wa maoni binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

    Wanajamvi habarini za asubuhi. Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi. Tabia yenyewe ni hii "sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali kuunga mkono sekta binafsi katika uzalishaji wa mbolea nchini

    BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI Dodoma, Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kinachojengwa mkoani Dodoma. Katika ziara hiyo, Bashe amebainisha ya kuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

    Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila siku huku Dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number D, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

    Wadau salaamu, Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1. Dhamana: 1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari) 2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande) Naomba...
  15. JamiiForums Tanzania Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

    Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu. Tizama tofauti ya mahesabu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maafisa uajiri wa taasisi binafsi waajiriwe au wasimamiwe na Serikali

    Baada ya kuwaza kwa muda mrefu ningependa kushauri baadhi ya taasisi binafsi hasa zenye wafanyakazi zaidi ya 200+ zisimamiwe na Serikali direct kwa kuajiri HRs au HR waripoti Serikalini na sio kwa waajiri binafsi kama ilivo sasa. Sababu za kufanya ivyo na faida zake: 1. Kumwezesha HR kusimamia...
  17. JamiiForums Tanzania Graduation za watoto wa chekechea (Shule binafsi) ni aina nyingine ya upigaji

    Shule za chekechea za binafsi zimekuja na kitu wanaita graduation kwa ya watoto wa chekekechea na huku wakimtaka mzazi kuchangia hadi 70,000 kwaajili ya kufanikisha sherehe ikiwemo kukodi joho. Binafsi naona huu ni upigaji, wizara husika iliangalie ili
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa wa Simba SC wapunguze 'Ego' kwani inawaharibia Binafsi na Kuigharimu pia na Simba SC yetu

    Aishi Salum Manula Kujiona anajua, Sifa Kumuharibu na kuamini hana Upinzani ndani ya Kikosi kunaanza Kumgharimu mpaka Kufungwa Magoli ya Kitoto, Kipuuzi na ya Kukosa tu Umakini wake. Ajitathmini na ajirekebishe upesi. Erasto Edward Nyoni Kujiona Mkongwe, Kusifiwa mno na Kuvimba Kichwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Haki ya Ulinzi wa Data binafsi kupitia Clubhouse ya JamiiForums

    Taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokutambulisha, iwe inahusiana na Maisha yako binafsi, Kitaaluma, au ya umma (Mfano: Majina, Namba za Simu, Anwani n.k) Ni mara ngapi umeshakutana na taarifa za Watu wengine katika Mazingira ambayo hukupaswa kukutana nazo? Kama ni mara nyingi, basi huenda...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ingeruhusu/Ingerahisisha sekta binafsi kuwekeza kwenye microhydropower dams na kuuza umeme locally

    Tanzania ina potential kubwa sana ya uzalishaji mdogo wa umeme wa maji. Hizi ni zile zinazoweza zalisha 5KW hadi 10MW. Utafiti uliofanyika unaonyesha mikoa kama Ruvuma, Rukwa, Njombe, Mbeya, Songwe, Kagera na zingine kwa kiasi zina potential kubwa sana za micro hydro dam, ni kama inafika 500MW...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…