binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Getrude Mongella: Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki

    RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki. Huwezi ukasimama hapa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Siri ya mafanikio katika maisha ya binadamu

    SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU NA: NESTER REUBEN 'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi'' Angalia maisha yako. Je, kuna maeneo katika maisha yako hayakufurahishi? Maisha yako ni wajibu wako...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

    Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia.. Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
  4. JamiiForums Tanzania Simbachawene kemea maovu na uvunjifu wa haki za binadamu unaofanywa na polisi

    Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala kukemea. Mfano ni huko Handeni tumeshuhudia akina mama wakilalama hadharani kupigwa na kutomaswa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nyanja za haki za binadamu

    Kwenye Nyanja ya Haki za binadamu. Kila binadamu ana haki ya kupata huduma za kilazima kama maji,Chakula na mahala pakuishi lakini kila binadamu ana haki ya kupata huduma za Ki afya pindi anapohitaji huduma hizo l #StoriesOfChange #CitizenJournalisim Lakini pia kila binadamu ana haki ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

    ...
  7. JamiiForums Tanzania Binadamu mwenye akili timamu hawezi kujitekenya kisha akacheka

    Wasalaam. Kitendo cha Serikali ya CCM kutunga sheria ya tozo za simu na kisha bunge la CCM kupitisha na mwenyekiti wa CCM kusaini na kuwa sheria kiliibua vilio nchi nzima. Lakini leo hii tunaambiwa mh mwenyekiti yule yule aliesaini amepunguza tozo ni jambo jema. Swali ambalo nimekosa majibu...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

    Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
  9. JamiiForums Tanzania Denmark wanasema wanataka kuhakikisha watu wao wako SALAMA kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu

    Mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania Denmark anasema kuwa wanataka kuhakikisha watu wao wako salama kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu. Wameyasema haya baada ya kutoa tangazo kuwa watafunga balozi zao Tanzania. Ikumbukwe kuwa Denmark imekuwa mdau...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kumuongezea binadamu uwezo kwa kutumia biotechnology?

    Tumeona ufundi wa kibiolojia ukibadilisha mambo mengi sana. Tumepata ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa na nyama nyingi. Tuna kuku wa kisasa wanaotaga sana na kutoa nyama kibao. Tuna miwa yenye sukari nyingi, nguruwe wakubwa. Aina mbalimbali za mbwa. Mimea inayostahimili ukame na magonjwa nk...
  11. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu maana binadamu tumeumbwa kusahau

    Team inayoongoza msimamo wa EPL ligi ni MANCHESTER UNITED Top Score anatokea MANCHESTER UNITED Top assists anatokea MANCHESTER UNITED Timu ilofunga magoal mengi ni MANCHESTER UNITED Team yenye hat trick mpaka asaivi ni MANCHESTER UNITED GLORY GLORY MAN UNITED...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Human Trafficking: Biashara ya Binadamu - Hali inatisha sasa! - NAFICHUA, NJOO UFICHUE

    Habarini, Leo nazungumza juu ya biashara haramu ya binadamu (human trafficking) naielezea, lengo kuu ni wote tuifahamu tujilinde na tulinde ndugu zetu. Ndio maana naomba sana kama una mchango wa mawazo, uzoefu au mifano halisi utushirikishe ili pamoja tulinde wapendwa wetu. Human trafficking...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

    Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi! Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na...
  14. JamiiForums Tanzania Binadamu anapojiweka shetani anayegeuka kuwa Mungu kuutawala ulimwengu

    Umofia Kwenu! Nilipokuwa nikipitia baadhi ya stori za wadau mbalimbali nami nikahamasika kuweza kuandika walaka huu kwa kufuata mawazo na fikra zangu binafsi kuweza kuweka mbegu mpya au mtazamo mpya juu ya ulimwengu wetu huu tulionao. Lakini zaidi ya yote nimevutaka kuandika waraka huu kutokana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Connection ya Maduka (Wholeselers) /Viwanda vinavyouza Dawa za Binadamu kwa bei nafuu zaidi

    Habari wajumbe. Naomba Connections za Maduka au Viwanda tunapoweza kupata Dawa za binadamu wa bei nafuu zaidi.
  16. JamiiForums Tanzania Wajue Malaika, Majini na Binadamu Kwa ufupi

    WAJUE MALAIKA, MAJINI NA BINADAMU KWA UFUPI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo tutajadili Kwa ufupi Sana habari za viumbe watatu ambao ni Malaika, Majini na Binadamu. Mada hii inaweza kuwafikirishi mno, mada Tata lakini haitatufanya tusiijadili. Niite Taikon wa Fasihi, Mwana kutoka Nyota ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

    Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019, huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona...
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

    Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012) The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012). Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa...
  19. JamiiForums Tanzania Leo tunaadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani

    LEO Julai 30, 2021 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Siku hii ilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Novemba 15, 2000 kupitia Azimio Na. 55/25, na ilianza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…