binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mapenzi bila drama hayaendi?

    Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often. Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa. Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi. Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya binadamu wasio na imani kumuhusu Mungu

    1. MAFANIKIO Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota. Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake. Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili...
  4. JamiiForums Tanzania Unene na uzito mkubwa kwa binadamu linakuja kuwa janga la dunia

    Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika yaunganisha nguvu kupambana na Ugaidi

    Na Mwandishi Wetu, Ethiopia Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili kupambana na changamoto ya ugaidi katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa nchini Ethiopia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia awa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi miaka 10 ya Haki za Binadamu, mabalozi 15 kuhudhuria

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu mnamo Mei 13, 2022, yakitarajiwa pia kuhudhuriwa na mabalozi kutoka nchi 15 wadau wa maendeleo Akitoa...
  10. JamiiForums Tanzania Pavu Abdallah: Iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza Ukiukwaji Mkubwa wa Haki za Binadamu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022 Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

    Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa. Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu. Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu. Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko mbinguni mpaka kieleweke. Kutuletea Ibilisi huku duniani ni kutuonea tu maana hatuna uwezo wowote wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

    Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa. Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita. Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Roho ya binadamu ni sawa sawa na roho za wanyama wengine?

    VIP
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Hospital ya Selian Arusha ALMC Pamoja na Dayosisi ya Arusha Mjini imeingia kwenye kashfa nzito.Kwa muda mrefu Dayosisi hii inayoongozwa na Baba Askofu Masangwa imeshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya Dayosisi,miaka kadhaa nyuma ilishindwa kusimamia ikiwepo hotel ya kitalii ya corridor hali...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kiume naye ni Binadamu kama wengine, acha kumkataza kulia anapokuwa na maumivu

    Mtoto wa kiume anakuwa na hisia kwa namna yeyote vile kama binaadamu wengine. Ni vile wewe mzazi unamsaidia mtoto wako kukua kwa namna ambayo utamsaidia na kumuongoza. Mtoto wa kiume anastahili kuogopa na hata kulia. Mzazi acha kumkataza mtoto wako wa kiume kulia maana tuna tabia ya kuwaambia...
  18. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  19. JamiiForums Tanzania Binadamu haendeshi maisha bali maisha ndio yanamuendesha Binadamu

    Moja ya jambo ambalo nakaaa muda na kuwaza ni kuwa Maisha na vilivyomo ndani yake. Niukweli usio pingika na Uko wazi kuwa haya maisha yanatuendesha yatakavyo. Naukifuatilia kwa karibu ni kuwa anayeendesha Maisha ni Mungu au Shetani. Mfano tu labda unataka kiwa mtakatifu uwe Mwaminifu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Special Thread to learn HTML, CSS and JAVACRIPT (Web Development) by Binadamu Mtakatifu

    Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji. Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha isiyo sanifu na fupi kufanya kueleweka sana. Pia Uzi huu utumike kama mahala pa kuuliza chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…