binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Elimu inaondoa akili ya asili, aliyozaliwa nayo binadamu

    Elimu ni kitu kizuri, ila changamoto yake inaondoa ule uelewa wa asili ulio zaliwa nao (geniusism) na kupandikiza mawazo ya watu wengine. Na hii inapelekea kupunguza idadi ya wavumbuzi kama enzi za kina Isack Newton. Tunaamini akili ulio zaliwa nayo, ndiyo yenye mapinduzi ya kweli kifikra na...
  2. Amani Dimile

    JamiiForums Tanzania Binadamu na mitazamo yao, sisi na maisha yetu

    Jioni moja tulivu, siku ya tarehe 16 Mwezi wa 8 mwaka 1920 katika mji wa Andernach, Germany kilisikika kilio cha mtoto mdogo wa kiume ambae ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuja duniani. Mtoto huyo alikuja kuwa Mfasihi na mwandishi bora wa mashairi wa kiamerika na kujishindia tuzo mbali mbali za...
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Wanachokifanya Raja ni kinyume na haki za binadamu

    Yaani wao wanakuwa na magoli ya kufunga 13, wakati wenzao woote wana magoli mawili mawili dah hii siyo haki.
  4. McCollum

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ataumba tena binadamu wengine baada ya dunia kufikia mwisho?

    Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa? ======================= Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa mkishastaafu mnasumbua sana

    Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji. 📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu. 📌 Watumishi mnajishau...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Vitendo ambavyo binadamu ukifanya lazma ukunje sura na kukaza mwili

    1. Kunywa kitu kichungu au kikali Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali 2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi. 3. Kupiga mpira kichwa Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kama unamuamini Mungu mshike kweli kweli na kama unaloga loga kweli kweli binadamu wabaya

    Ndugu zangu, jana nilienda sehemu kumsalimia shangazi yangu, sasa baada ya kufika pale nimemkuta mume wake akiwa kitandani amepooza hawezi kabisa kutembea ni miaka mitano sasa imepita toka awe ndani. Kifupi nina muda mrefu sana sijamuona mumewe japo hili tatizo alilonalo nilisha lisikia muda...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maporomoko ya Kalambo yanatajwa kuwa maajabu ya Afrika yaliyoficha zama za Binadamu?

    Tanzania nchi yangu. Maporomoko ya Kalambo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi ilifanya Mungu akaacha kuongea na binadamu kwa ishara?

    Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi...
  11. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Viumbe vingine vinaona binadamu ni kituko

    Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana. Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi. Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  13. Muccigang

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hana ratiba ya kuja kuongea na binadamu hapa duniani?

    Habarin guys, Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wana muda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila Mungu hana huo muda kabisa. Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata...
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Vitamini D: Faida zake kwa afya ya binadamu

    #VitaminD hupatikana kwenye Vyakula vichache sana vya asili kama Samaki, Maini, Mayai (hasa ya Kienyeji) na Jibini. Pia, Mwanga wa Jua huzalisha Vitamini D ya asili inayosaidia katika vitu vifuatavyo #Mifupa: Vitamini D huusaidia mwili kuongeza ufyonzaji na matumizi ya Madini ya #Calcium...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kitu chenye speed kuliko vyote na anacho binadamu

    Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi. Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza...
  16. Tyrone Kaijage

    JamiiForums Tanzania Kiuelewa na kujitambua binadamu wapo aina nne

    1. Mtu anayejua, na anajua kwamba anajua. Huyu ndiye mwanazuoni, basi mzingatieni na mjifunze kwake. 2. Mtu anayejua, lakini hajui kwamba anajua. Huyu amesahau, basi mkumbushe kimya kimya. 3. Mtu ambaye hajui, na anajua kwamba hajui. Huyu ni mwanafunzi basi msomeshe mfululizo maana siku moja...
  17. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Je, Binadamu tuna free will (Hiari)?

    Nasilsiniz JF üye? Naomba unisamehe maana kwa haraka haraka hata mimi najishangaa kuuliza hili swali, kwasababu it's a No-brainer right?, Namaanisha ofcourse binadamu sisi sio kama wanyama wanaotawaliwa kwa instincts, sisi tuna free will right?, Maana tokea nianze kujitambua mpaka sasa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti UNDP: Tanzania imepanda viwango Maendeleo ya Binadamu

    Tanzania imepanda katika viwango vya kimataifa vya maendeleo ya binadamu, imeeleza ripoti mpya ya Maendeleo ya Watu 2021/2022. Imepanda kutoka nafasi ya 163 (alama 0.529) mwaka 2020 hadi 160 (alama 0.549) mwaka jana kati ya mataifa 191 huku ikiwa juu ya majirani zake sita wa ukanda wa Afrika...
Back
Top Bottom