binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ingekuwa inawezekana dunia kuumbwa upya, kati ya wanyama na binadamu, nani ungependa atawale dunia baada ya binadamu kuiharibu?

    Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni. Wanaaminika kuliko binadamu...
  2. JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  3. JamiiForums Tanzania Ninachojua Binadamu ndo kiumbe pekee ambaye hana Akili

    Huwa nashangaa Sana MTU akisema Binadamu Ana akili Sana kuliko wanyama wa kawaida hii hapana Human being is toxic creature. Binadamu alibidi kuishi kwa Upendo na kuyatawala mazingira na sio Kama ilivyo sasa. Hajitambui
  4. JamiiForums Tanzania Huu mradi wa Binadamu aliyeuanzisha alikuwa na lengo gani ikiwa Binadamu wanateseka ,wanauana , wanakuwa malaya n.k?

    Hivi huu mradi wa uwepo wa Binadamu ulikuwa Una lengo gani ? Ikiwa sasa ni zaidi ya miaka 2000+ Watu wanauana Wanakuwa malaya Wanakufa kwa ukimwi Na mwisho unakufa doesn't matter you are rich or poor What the meaning of this project?
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya: Yaowaonya wanaotaka Kugombea Uongozi, kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu ili kupata madaraka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Faida ya kiuchumi ya kufungua maabara binafsi ya magonjwa ya binadamu

    Wakuu nina mpango wa kufungua maabara yangu je nitegemee kupata faida gani Kwa siku?
  7. JamiiForums Tanzania THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ukienda kununua mbao nenda na Mita yakoo binadamu wamekuwa Simba nwdays

    SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
  9. JamiiForums Tanzania Hii inaonyesha jinsi binadamu tulivyo wachache duniani ukilinganisha na viumbe wengine,je kwanini binadamu tunajiona special zaidi ?

    Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way. Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga 1,000. Mfumo wetu wa jua upo takribani miaka ya mwanga 26,000 kutoka katikati ya galaksi hii. Kama hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Maabara ya kisasa mpya kabisa inauzwa

    Wakuu, Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi. 1. Centrifuge 2. Water Bath 3. Microscope 4. HB Machine 5. BP Machine 6.Weighing Scale 7.Blood collection tubes 8.Autoclave...
  11. JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba sita kwanini Mungu kamuumba binadamu juu ya uso wa dunia

    Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu. Sababu zangu kuu ni mbili: 1. Hakuna uthibitisho wala dalili yoyote ile kwenye nature inayo suggest kwamba Mungu ametuumba ili tumuabudu. Ingekuwa huo ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

    Wasalaam wana JF. Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine. Nimeamua kwenda na hii...
  13. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata fuvu/mabaki ya binadamu mzungu aliyekuwa nyani kabla ya kuwa modern man?

    Wakuu ntangulize shukrani kwa wajuvi wa mambo,nikili tu kwamba mimi somo la history nilikuwa mweupe. Ila nakumbuka kama vile fuvu la binadam-nyani wa kale linapatikana Afrika mashariki. Olduvai George (mtanikosoa) Sasa fuvu hili ni wazi ni la mwafrika au mtu mweusi,sasa swali langu ni je fuvu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu anaweza kuwa Mtakatifu

    Je, Binadamu Anaweza Kuwa Mtakatifu Utakatifu ni Nini Utakatifu ni ile hali ya kuwa safi mbele za Mungu, kumhofu yeye na kumuogopa yeye na kujitenga mbali na dhambi. Neno “Mtakatifu” lina maana mbili katika moja; Yaani kutengwa na dhambi kabisa na pili kuwekwa wakfu/ maalum kwa ajili ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  17. JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  19. JamiiForums Tanzania LHRC: Makazi ya watu Muleba yanabomolewa wakati kuna kesi Mahakamani, huu ni ukiukwaji wa Haki

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA Dar es Salaam 10, Februari 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimepokea taarifa za ubomoaji na uchomaji wa makazi ya watu katika Kata ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna binadamu wanafanana sana.

    Hii picha ya Kalonzo Musyoka (aliyevaa suti), Naibu Rais mstaafu wa Kenya na waziri wa zamani katika wizara mbalimbali akimfariji mtoto wa rafiki yake wa muda mrefu ambaye ni baba yake aliyefariki imezua maneno sana huko Kenya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…