binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa Mbwa wakizungu wana akili sana kumzidi hata binadamu

    Just watch this video
  2. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Binadamu Ana Hofu Mbili Za Asili, Hizi Ngingine Amefundishwa

    Binadamu kiasili ameumbwa na hofu mbili tu,yaani hofu hizi ndio asili yake Hofu ya kwanza ni kuanguka,hii ni hofu ya asili tangu tukiwa utotoni, ndio maana mtoto ambaye anaanza kusimama mara nyingi huwa na hofu ya kuanguka Hofu ya pili ni ya sauti, hizi hofu mbili hatukufundishwa bali tumekuwa...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Style ya Kifo Cha Mende ndio Tunu turufu na tofauti kuu ya Binadamu na wanyama wengine kwenye tendo la ndoa

    Inatupasa kutambua tunu kuu ya wanadamu dhidi ya wanyama wengine ambao wameumbwa na mola wetu. Kipekee mola wetu alikuwa vizuri kutuwekw level ya juu kwenye utashi wa kunyandua kwa kutupatia vibe la kifo cha Mende. Niwatakie heri kwenye michakato ya kunyanduana weekend hii yenye upako mzuri...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba 5 kwanini binadamu tumeumbwa duniani

    Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa sikubaliani na fundisho la Dini hizi( Abrahamic religion/ ukristu, uislamu, na Judaism) kuhusu sababu kwanini binadamu tumeumbwa duniani Mafundisho ya Dini hizi yanasema bila aibu kwamba ; 👇👇👇👇 " Mwenyezi Mungu alituumba wanadamu ili tumuabudu" Nikasema...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu DCI: Takwimu zinaonesha Makosa ya mauaji ya binadamu yameongezeka Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar. Akitoa tathmini ya hali ya usalama Zanzibar kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2024 huko Makao Makuu ya Polisi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania MMILIKI WA KAMPUNI META( FACE BOOK) NI BINADAMU WA KAWAIDA AU NI ROBOTI

    SALUTE.pole Wana jangwani Kwa kupoteza game ya Jana leo nimekuja na swali huenda likawa ni la kipuuzi Kwa baadhi ya watu ila ningependa kujua binafsi Huwa napenda kufuatiria au kusikiliza interview za watu wenye pesa nyingi kuanzia akina mo dewji mbaka mbele huko Kwa...
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

    Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani. Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA umethibitisha utafti wangu kwamba binadamu ni kipofu ingawa ana macho

    Mimi siyo mwanasiasa! Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO! Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu! Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang...
  12. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

    Habari za wakati huu ndugu zangu wana jamii, naomba kuuliza ni nini kitatokea endapo mtu atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu, ukizingatia maziwa huwa tunayatumia kumpa mtu aliye kula sumu kabla ya kumpeleka hospitali kwa matibabu zaidi
  13. danhoport

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Mungu anatuimiza binadamu tusamehane, kwanini yeye hajamsamehe Shetani?

    Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama Mungu alimsamehe. Je Mungu bado ana kinyongo na Shetani?
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

    Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
  15. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu wapo katika hatari ya kutoweka kwenye uso wa Dunia?

    Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi. Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi AU na UN wanafanya jitihada zipi kuushinda utumwa wa binadamu unaofanyika Libya? Au hadi Israel ihusike ndiyo tuone mabango kila kona?

    Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli. Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili aachiwe huru. Yupo katika mateso tangu may 2024. Hao wengine nyuma yake ni wahanga wa utumwa. Nina...
  17. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ishi na watu kwa akili binadamu tunasahau wema

    Tunakukumbusha! ✍️Sisi ni marafiki zako tunaokupenda, lakini ukifilisika kamwe hatutopokea simu yako na hatutopenda kukuona machoni mwetu. ✍️Elewa sisi ni watu wako wa karibu sana, lakini ukifilisika hutoweza tena ku-view status zetu za WhatSapp. ✍️Ni kweli tunakupenda kama rafiki yetu na mdau...
  18. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu yupo na backteria katika mwili wake?

    Ukichukua maiti ukaiweka sehemu safi mfano katika vigae au kitandani, Hii maiti ikianza kuoza wale bacteria (wadudu) ambao huanza kuibuka je huwa wanatoka wapi? Kama ni katika mwili means ndani ya Mwili wa binadamu kuna hao backteria ?
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usianike life style yako mtandaoni, binadamu hana tabia ya kusahau, binadamu hasamehi

    Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare. Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu. Kuna siku utahitaji kazi...
  20. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
Back
Top Bottom