binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marcy

    Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  2. Vien

    Laiti kama binadamu hasa wanawake wangeweka reasoning mbele kuliko emotions, je dunia ingekua sehemu salama zaidi?

    Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
  3. Nyendo

    Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu nchi

    Mtaalamu wa Masuala ya Katiba na Sera Wakili Edson Kilatu ameeleza wasiwasi wake, na kutilia shaka kuhusu utendaji wa 'Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)' Nchini akidai kwamba akidai kwamba uhuru iliyopewa Tume hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria hautumiki ipasavyo Akihojiwa na...
  4. Masalu Jacob

    Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  5. Mad Max

    Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  6. Wakusolve

    Je unajua binadamu ana level ya ufahamu au dimension kuusu Mungu, upo level gani ? soma hapa

    Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha) Dimension hizo ni -3D -4D -5D 3D(dimension) Hii ni level...
  7. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  8. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  9. P h a r a o h

    Tofauti na Binadamu, Siafu pia wanajishughulisha na kilimo

    ‎kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee. ‎ ‎Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
  10. Parabolic

    Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  11. P h a r a o h

    Angalia huu udhaifu mkubwa kwenye akili ya binadamu ambao wanaojipa title ya mamlaka wanautumia kwa maslahi yao

    ‎Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka. ‎ ‎Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
  12. KENZY

    Maisha ya binadamu na dhana ya Uongo!

    Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!. Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
  13. P h a r a o h

    Science: Zaidi ya asilimia 99 ya vitu vilivyopo ulimwenguni, binadamu hatuvioni wala kuvihisi

    ‎Ssi binadamu hua tunaamini kuwa tunaona na kuielewa dunia kikamilifu kupitia macho, masikio, ngozi, pua na ulimi. Lakini ukweli wa kisayansi unaonyesha sense za binadamu zinaweza kugundua chini ya asilimia 1 ya physical reality inayotuzunguka. ‎ ‎ Electromagnetic spectrum zinaanza kuanzia...
  14. Nelson Jacob Kagame

    Binadamu mnamjua Mungu aliyewaumba au mnakariri hadithi tu?

    Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu. Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu. Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua mna ubini wa Adamu. Mnamjua Mungu aliyeumba au mnakariri hadithi na mapokeo. Mungu yupo ila asilimia...
  15. Roving Journalist

    LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  16. upupu255

    MIZANIA Mkojo wa Ngamia ni salama kutumika kama dawa kwa binadamu

  17. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  18. Yoda

    Wanasiasa ni ishara mojawapo ya dini kutokuwa na umuhimu au maana kwa binadamu.

    Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko. Fikiria watu wanajua kabisa wameingia madarakani kwa kupitia uporaji uchaguzi, kuumiza na kuua wengine ila kauli ya kwanza...
  19. M

    Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
  20. Pakome

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu, sio ajabu Chupi akavaa kichwani, Bunduki haikuwa na lengo la kuonea

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
Back
Top Bottom