bima

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Bima ya Afya (NHIF) inakaribia kufa

    Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake. Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa yatishia uhai wa Bima ya NHIF

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko. Mwenyekiti wa PIC, Jerry Silaa ameyasema hayo leo Alhamis Agosti 25, 2022 baada ya kupokea taarifa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya Yetu Watanzania

    Afya; Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, ni hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na sio tu ukosefu wa magonjwa na udhaifu. Kuna aina mbalimbali za afya kama vile afya ya kimwili, kiakili, kiroho, kihisia na kijamii. Afya inaweza kukuzwa kwa kuhimiza shughuli zenye afya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori. Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa...
  6. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni za bima za vyombo vya moto zinasaidia vipi kufanya wamiliki kuwa makini barabarani?

    Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali. Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
  8. think tank01

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bima ya Afya ya Jamii

    BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...
  9. J

    JamiiForums Tanzania NHIF yasema baadhi ya hospitali huwaandikia wagonjwa wenye bima dawa zisizo sahihi. Hii ni hatari kwa afya, ni sawa na kuwanywesha sumu

    Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mh. Konga amesema taasisi yake imebaini madaktari wanawaandikia wagonjwa dawa zisizo sahihi na huu ni uhujumu uchumi. Konga amesema mtu anapokunywa dawa isiyostahili anakuwa amekunywa sumu hivyo hospital zinazofanya mchezo huu zitashughulikiwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Makusudi wanayofanya wahudumu wa afya kutoa dawa kwa watu wanaotumia bima za afya

    Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa husika haipo kwenye orodha ya dawa kwenye fungu la bima alilopo mgonjwa husika na ni ngumu dawa hiyo...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Bima kwa wote iendane na utoaji wa elimu. Kuna "Lightness" wengi sana wasio na sauti

    Jana waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alitoa maelekezo kwa Lightness Shirima (22), mwanafunzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo - Dodoma kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuchukua kitambulisho chake kilicho zuiwa kutolewa kutokana na kushindwa kulipa deni la tsh 9M la...
  12. Paul Faraj

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maboresho ya Sera za Bima ili kufikia lengo la serikali la kuwafikia wananchi walio wengi zaidi

    Bima ni nini? Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe fidia. Zipo aina mbalimbali za bima kama vile bima...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania NHIF itafilisika, masikini hawekewi bima

    Watu wetu wengi ni maskini sana na wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda dhidi ya maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi kumudu kupambana na maambukizi. Elimu ya afya na huduma za afya haziwafikii watu wote. Watu wetu wanazo tabia nyingi mno...
  14. Adriel Vin

    JamiiForums Tanzania Tigo Bima wananifanyia huu uhuni

    Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik) Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to...
  15. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  16. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  17. vvti engine

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Voda Bima

    Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
Back
Top Bottom