bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na Katiba

    Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya wengi wamekuwa wakiitaka irejeshwe.
  2. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

    UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa. Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Taasisi za Serikali zimekaa kiupigaji zaidi badala ya kutoa huduma bora kwa wananchi

    Kwanza nianze kwa kukiri kwamba watanzania ni watu wanaojituma sana kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kujipatia maendeleo. Ila inasikitisha kuwa jitihada za watanzania wengi zinazimishwa na watu wachache wanaoanzisha taasisi au mifuko kwa lengo la kujineemesha kwa kutumia pesa za wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaoitwa wasanii Tanzania ni kundi lenye mahitaji maalumu?

    Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wateja wa bima ya afya I C H F kukosa huduma kituo cha Zamzam na Rwamishenye Bukoba MC

    Mpaka Sasa hamna MAJIBU yoyote kutoka kwa wasimamizi wa bima hizo kuhusu sababu za kusitisha huduma hiyo kwa wateja.
  6. JamiiForums Tanzania Wanachama wa NHIF sasa wataweza kupata huduma kwa kutumia namba ya Kitambulisho cha Taifa

    "NHIF wameweka tangazo kupitia ukurusa wao wa Instagram kuwa sasa wanachama wa mfuko wa NHIF sasa wanaweza kutumia namba ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vitioni. "Sasa unaweza kutumia namba yako ya Kitambulisho cha Uraia kupata huduma za NHIF vituoni. Hii ni kwa wananchama na...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Kutumia mifugo na mazao kulipia bima ya afya, njia hizi zitasaidia Tanzania kufikia lengo la Bima ya Afya kwa wote

    Mifugo na mazao kulipia bima ya NHIF na mikakati ya Tanzania kufikia lengo la bima ya afya kwa wote Imeandikwa na Bonge La Afya UTANGULIZI Njia rahisi na nafuu za kulipia huduma za afya ni nguzo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Katika nchi nyingi za...
  8. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Napendekeza Maboresho yafanyike Katika Bima ya Afya Kupitia Wazo Hili. "Self Mobile Health Insurance Service SMHIS "

    Utangulizi. SELF MOBILE HEALTH INSURANCE SERVICE (SMHIS). Ni mfumo wa kidijitali utakao mwezesha Mwanachama hai wa bima ya Afya kuomba kupata huduma ya matibabu kwa kutumia simu yake mwenyewe pamoja na Huduma ya kiafya kwa kutumia bima kupitia mtandao yaani (Digital health insurance service)...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  10. JamiiForums Tanzania Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

    Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini. Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili...
  11. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa Bima ya afya kwa wote na rushwa kwenye vituo vya afya

    Katika huduma ambayo inazidi kuwa ghali na inachukua maisha ya watu wengi ni ukosefu wa huduma bora za afya Wakati mwingine watu hupoteza maisha si kwa kutokuwepo kwa madawa au wataalamu wa afya wenye uwezo bali ni kwasababu ya kukosa pesa za kugharamia matibabu na kutoa hongo kwa wahudumu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
  14. JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya kudumu inahitajika kwa watu wenye magonjwa sugu

    Kuna magonjwa mengi sugu ambayo kwa kweli yamekuwa tishio lakini binafsi nimeona ni vyema kugusia kwanza upande wa figo, hasa upatikanaji wa matibabu yake na huduma zake. Iko wazi kuwa mpaka sasa hapa Tanzania, asilimia takribani 7% ya watanzania wanasumbuliwa na tatizo la figo na wengi wao...
  16. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya kwa kila Mtanzania suluhisho kwa watanzania wanaokosa matibabu sababu ya pesa

    Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali. Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

    Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mamilioni ya Raia Masikini kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote

    Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la bima ya Afya kwa pamoja

    Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima. Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yarejesha Vifaatiba na Dawa 178 ilizoziondoa kwenye Kitita kipya cha Bima ya Afya

    Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…