bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya ina 'cover' chanjo ya COVID-19?

    Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Wezi wa kutumia Bima ya Afya wakamatwe popote walipo

    MTWARA :- "WEZI WA KUTUMIA BIMA YA AFYA WAKAMATWE POPOTE PALE - MPANGO “Nasikia kuna mchezo kuna watu wanatumia bima za afya kuiba Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya hawa watu kamateni popote walipo wala msijali vyeo vyao awe ni daktari, natumaini hamtotumia maelekezo hayo kuone wetu wengine”-...
  3. Emmanuel Nelson

    JamiiForums Tanzania SoC01 Bima ya Afya bure kwa watoto Vijijini - Mapendekezo yangu

    Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani. Mara kadhaa tumeshuhudia kwa kusikia, kuona ama kusoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari/mitandao...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Kama tunavyojua kuwa wimbi la tatu la ugonjwa wa korona linatupiga ipasavyo na japokuwa serikali inaendelea kupokea misaada ya fedha kutoka WHO na mashirika mengine lakini cha ajabu hakuna mikakati yoyote ya kupunguza gharama za mgonjwa wa Korona. Kwa mfano dozi moja ya korona mpaka sasa si...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Wizara iache woga ipeleke muswada Bungeni

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka. Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili. Ni...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

    Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima. MY TAKE; 1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
  7. wakuja town

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bima ya afya

    Habari za asubuhi wakuu, Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na NHIF anijuze. Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya NSSF ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi ...... Recently wamesitisha kupokea wanachama wapya Kwa mda usiojulikana.
Back
Top Bottom