bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Nashauri waTanzania kugomea uchaguzi hadi bima ya afya kwa wote ipitishwe

    Kama kweli hiyo 29.10.2025 kutakuwa na machafuko watanzania wengi watakufa kwa kukosa matibabu kwani hawana uwezo wa kujigharamia. Ikiwa ni hivyo basi wananchi hawana budi kugomea uchaguzi hadi serikali ifanyie kazi takwa la msingi la bima ya afya kwa wote. Ilikuwa ni vyema serikali kuahirisha...
  2. K

    Kuhusu NHIF (Bima Ya Afya Ya Taifa), Nionavyo mimi Wananchi Tumepigwa Chenga ya Mwili

    Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili. Kitakachokukuta Kuhusu gharama za Vipimo na dawa ni heri yule ambaye hana bima. Bima hii, bima hii, bima hii Ya Afya TAIFA ni zaidi ya...
  3. GE2025 Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote

    Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote tunamini katika nguvu kazi ya taifa ni wananchi kuwa na afya njema.
  4. Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote. Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure! Swali ni kina nani hao...
  5. H

    Bima ya afya kwa wote iwe sawa na mshahara kima cha chini kwa watumishi na wasio watumishi

    Habarini, Ni wazi watumishi ndiyo wananufaika kwa bima ya afya hasa ukizingatia wao huchangia kwa kukatwa kwa 3% na kuchangiwa 3% na mwajiri. Sasa kwanini serikali isianzishe utaratibu wa wananchi wote wa kawaida wasiyo na uwezo kuchangia kwa 6% ya hicho kima cha chini pendekezwa na wenye...
  6. GE2025 Suala la Bima ya Afya Watoto, Wazee na Wajawazito ni uongo wa wazi! Ikiwa hadi sasa Watoto, Wajawazito na Wazee wanalipishwa, la Bima ataliweza?

    Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya miaka mitano Bure ni Malaria, Mkojo, Haja Kubwa, HIV. Vipimo wanavyopimwa Wajawazito na Wazee Bure...
  7. Mwaka 2018, Kikwete aliandika haya kuhusu Bima ya Afya kwa wote

    Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Kufanikisha lengo hili kutamaanisha kila mtu katika kila jamii atapata huduma nafuu...
  8. M

    KERO Bima ya Afya ya NHIF siku hizi haina maana kabisa

    Yaani nchi yetu imekuwa ya ajabu mno siku hizi. Kila mwezi wanakata malaki ya hela kutoka kwenye mishahara ya watu kwa ajili ya bima ya Afya ya NHIF. Lakini ukienda hospitali kwa ajili ya huduma ya afya kama vile uzazi hospitali zinataka ulipie gharama za uzazi. Hili jambo halikuwepo zamani...
  9. A

    KERO Selcom Microfinance Bank imepunguza kifurushi cha bima ya afya kwa wafanyakazi wake

    Ni jambo la kusikitisha na linalokatisha tamaa kuona kuwa ofisi yetu imeamua kupunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa huduma za bima ya afya kwa wafanyakazi, bila kuzingatia athari zake kwa afya na ustawi wa watu wanaoendesha shughuli za kila siku za kampuni. Kwa sasa, wafanyakazi wameondolewa...
  10. Kwa mara nyingine tena Rais Samia anaitendea Haki Sekta ya BIMA Ya Afya abuni chanzo kipya cha mapato

    Rekodi hii inawekwa jukwaani ili siku asipokuwepo tumkumbuke sana. Alianza na upitishaji wa Sheria ya bima ya Afya kwa wote na Sasa ameleta njia ya utekelezaji wake na akaenda mbali yaani kuanzisha mfuko wa Dhamana ya Ugonjwa wa UKIMWI. Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti...
  11. M

    Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
  12. Kuna mtu humu aliyejiunga na bima ya afya ya VODACOM (VODABIMA) atupe mrejesho

    Kama kichwa cha habari kilivyo nauliza kama kuna member humu alipata matibabu kwa voda bima ya vodacom hali ikoje na je huduma zote zinapatikana ikiwemo upasuaji,kunywa na meno,uzazi na magonjwa yasiyoambukizwa kama sukari,BP na .n.k USSR
  13. Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  14. R

    Wazee wastaafu kukatwa pensheni zao kuchangia Mfuko wa Bima ya Afya

    Hii ndiyo taarifa nyeti ya mauaji ya wazee. soma hapa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk Isaka, anasema:“Mikakati iliyopo ni pamoja na kuendelea kuomba Serikali kuidhinisha muda wa uchangiaji kuongezwa kutoka miaka 10 hadi 15, pamoja na wastaafu kuchangia kiasi cha fedha kutoka katika pensheni zao ili...
  15. Bima ya afya NHIF fomu za kujiunga zilirahisishwa mpaka kwenye zahanati

    Nimeleta nyuzi zaidi ya moja humu kuhusu hawa watu wa bima na sidhani kama nitawazungumza vizuri bila ya wao kujirekebisha. Namuomba mola awajaalie baya lolote tu kama zawadi yao kwa huu uhuni na usumbufu wanaonifanyia Tunawasemaga polisi bure tu mazee, sekta sumbufu ni afya! Nataja kwa ufupi...
  16. Kelele za Wagonjwa: Kwanini Bima ya Afya (NHIF) Inashindwa?

    Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa. Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...
  17. PreGE2025 Mavunde: Nawapatia Bima ya Afya Walimu wangu, atangaza Miradi ya maendeleo Mazengo

    Waziri wa Madini na Mbunge wa Dodoma mjini amewapatia Waalimu WA shule ya Msingi Mazengo jijini Dodoma bima ya Afya yenye Thamani ya shilingi Milioni 3 kila Mmoja. Soma, Pia: Mavunde Akabidhi Kompyuta na Printres kwa Shule 50 za Sekondari Jijini Dodoma Akizungumza leo katika hafla ya Ugawaji...
  18. PreGE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  19. Rais Samia asema bima ya afya kwa wote ni jambo zito si jambo jepesi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake. Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema kwa sasa limebaki upande wa Serikali kulifanyia kazi. "Jambo hili ni zito na sio jepesi...
  20. W

    PreGE2025 Nanauka Foundation yakabidhi kadi za bima ya afya kwa wazee 204, Mtwara

    Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…