bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mswaada wa Bunge la Marekani kuhusu Tanzania unalenga pia kuwataja wanaohusika na ukandamizaji wa demokrasia bila kusahau waliogiza na kuekelez mauji

    Hii ni sehemu ya 5 ya Mswaada husika. Jisomee:
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANAPA wananizungusha na malipo yangu kwa miaka miwili sasa

    Mimi ni muathirika wa hali ya sasa katika taasisi ya TANAPA. Nilifanya kazi moja, na ni miaka miwili sasa imepita bila kulipwa. Mbali na mimi, kuna mwenzangu analalamika kuwa mama yake alifanya kazi tangu mwaka jana akiwa bado hajastaafu, lakini mpaka sasa ni mwaka umepita tangu astaafu na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 2027 Waafirka kuingia Congo-Brazzaville bila Visa

    Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika kwanza (Pan-Africanism). “Kuanzia tarehe 1 Januari 2027, kuingia Jamhuri ya Kongo Brazzaville...
  4. JamiiForums Tanzania Bawasiri bila upasuaji

    BAWASIRI NI NINI? Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri. Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

    Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo? Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 13 Bila Albert Mangweah: Bongo Flavour Artists wamejipangaje kumuenzi 2026

    28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini. Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu wakimzungumzia namna ya kumuenzi mwaka huu wa 2026. Kwangu Binafsi nitamkumbuka kwa nyimbo ya ni...
  7. JamiiForums Tanzania Shabiby: Nitagombea Urais 2030, nitaleta Sheria ya kunyonga Watu kupambana na Rushwa

    "Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri. Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji Njiro (Arusha), wiki 2 bila huduma! Tukiwaita AUWSA wanatuzungusha

    Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari. Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Bila Mkataba: Haki za Wafanyakazi wa Kampuni ya Temboking yupo gizani

    Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii inanifanya nisiwe na uhakika wa kazi, maana mwajiri anaweza kunisimamisha kazi muda wowote bila...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia 7 zinazokuchelewesha maisani bila wewe kujua!

    Watu wengi huamini kwamba kuchelewa kufanikiwa ni bahati mbaya, ukosefu wa connection, au mazingira magumu pekee. Lakini ukweli ni kwamba kuna tabia ndogo ndogo ambazo watu huzifanya kila siku bila kujua ndizo zinazowarudisha nyuma polepole kwenye maisha. 😳 👉 Kwanini baadhi ya watu wana...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

    Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha. Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake. NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
  13. JamiiForums Tanzania 🧠⚡ JE, MAAMUZI YAKO NI YAKO KWELI… AU UBONGO WAKO UNAONGOZWA NA PSYCHOLOGY BILA WEWE KUJUA? 🤯

    Kila siku binadamu hufanya maamuzi kuhusu pesa, mahusiano, biashara, afya, kazi, na maisha kwa ujumla. Lakini ukweli wa kushangaza ni kwamba watu wengi hawaamui kwa logic pekee — akili, mazingira, emotions, habits, na psychology vina influence kubwa sana kwenye choices tunazofanya kila siku. 👉...
  14. JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  15. JamiiForums Tanzania Yericko Nyenyere hajawahi na hatowahi kua Mwanasiasa, Alikua ni Chawa, along'ang'ania Nguoni kwa Mbowe , Bila Mbowe ,Hapana Yericko!!

    Wenyewe somnaona sasa aina yake ya Maisha na Maandiko yake !! Dhahiro shahiri ni Pro Chawa !!. Bila kubeba, haonekani.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Watumishi Wapya VETA: Miezi 2 Bila Kazi Wala Mshahara

    VETA Habari za wakati huu. Mimi ni mmoja wa watumishi wapya walioajiriwa na Veta tarehe 19/02. Baada ya kufika makao makuu Dodoma na kukamilisha zoezi la kusaini mikataba ya ajira, tuliombwa kusubiri maelekezo ya kupangiwa vituo vya kazi. Hata hivyo, hadi sasa zimepita takribani miezi miwili...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini utahisi ngozi ya tumboni na Kifuani kuwasha unapoanza Kukimbia baada ya Kukaa muda mrefu bila Matizi?

    Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili huwa nayo naturally na huwa inahusika kwenye allergy au kuwashwa kwa ngozi. Unapoanza kukimbia...
  19. JamiiForums Tanzania Putin atoa onyo ole wake atakayethubutu kuchukua uranium ya Iran bila ruhusa ,,kumekucha!

  20. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Kisare: Huwezi kuwa na haki bila amani, na huwezi kuwa na amani bila haki, haiwezekani

    Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja. "Haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…