bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

    Za sahizi wakuu, Leo, hebu tuongee juu ya safari isiyo ya kawaida ya shujaa wa ndondi Mike Tyson na uamuzi wake wa kukaa bila kujihusisha kimapenzi kwa miaka tano ya kushangaza. 🥊 -Mike Tyson, anayejulikana kwa ngumi zake zenye nguvu na mtindo wa kupigana kwa ukali, alikabili changamoto...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha usumbufu: Baada ya kuitwa kwenye ajira, unasubirishwa kwa kwa takriban mwezi ili vyeti vihakikiwe, bila kuwezeshwa kujikimu!!

    Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtag shabiki wa Simba na umtakie pole kwa kumaliza msimu bila taji lolote

    GENTAMYCINE pole sana ila upunguze mdomo na uongo uongo, Simba msimu huu hakuwa na kikosi cha maana.
  4. JamiiForums Tanzania NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa! Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi, unatumia njia ngani kumrekebisha Mtoto bila kuathiri Afya yake ya Akili?

    Mzazi ana Jukumu muhimu sana katika Kumlea na Kumkuza Binadamu bora wa kizazi cha baadaye. Kupitia Malezi hayo, Mzazi anapaswa kumsaidia Mtoto Kukua na kuwa mwenye Afya Njema, Furaha na Anayejiamini. Tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Watu wazima waliopitia Unyanyasaji wa aina yoyote katika...
  6. JamiiForums Tanzania Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

    Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far. Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi. Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana mtu akawa kaelimika bila kufaulu mtihani wa darasani kisha utendaji ukaamua kupima kwamba aliefaulu darasani hajaelimika ?

    Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

    Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
  10. JamiiForums Tanzania Ni lini TRA mtawezesha tupate TAX Clearance bila kufika ofisi zenu zenu?

    Habari za wakati huu; Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda. Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili. Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?

    Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge

    Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International huko Malindi lilipoimarika miaka michache iliyopita. Hakuwa mtu aliyechanganyikiwa, kama...
  13. JamiiForums Tanzania Bwana na Bibi Afya acheni kukaa maofisini piteni migahawani, wanachakaza afya zetu kwa tamaa ya faida kwasababu hawadhibitiwi wala kushitakiwa

    Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi. Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

    Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu. Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu. Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika. Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ajira 21000+ ni chache sana, watakosa wengi, na wengi watahisi bila pesa /connection huwezi kuajiriwa

    Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017... Hii itasaidia Sana kuondoa sintofahamu mtaani, mfano: Kuna jamaa kamaliza DUCE chemistry/biology 2015, kaomba huu mwaka wa 7 hapati...
  16. JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

    Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable. Huwa nasikitika sana nimenunua nguo lakini nikifua tu mara mbili ama mara tatu ni hohe hahe, nguo inakuwa imeanza kufifia na...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tusinunue ndege bila kuwa na business plan. Rwanda Air waanza safari za Paris

    Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao. RwandAir to...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  20. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Sisi Wabunge tuliopita bila kupingwa tunatembea kifua mbele kwakuwa tupo Bungeni kihalali

    Mbunge wa Nzega na Waziri wa zamani, Hamis Kigwangalla amesema haoni tatizo kwa Wabunge kipita bila kupingwa kwa kuwa wapo Bungeni kihalali kabisa licha ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa hivi karibuni kueleza kuwa utaratibu huo uko kinyume na sheria.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…