bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kupona bila dawa

    Sio kila magonjwa katika miili yetu ,huwa hanataka tiba. Miili yetu inazo njia mbalimbali za kupambana na maradhi ,na njia hizo ni Bora zaidi kuliko kutumia dawa. MAGONJWA MENGI KAMA VILE MAFUA NA FLU, HUPONA BILA DAWA NJIA ZENYEWE NI ZIPI? Ili kusaidia mwili kujikinga na maradhi kwa kutumia...
  2. JamiiForums Tanzania Unaweza kupona bila dawa

    Magonjwa mengi kama vile mafua na flu, hupona bila dawa. Njia zenye kusaidia mwili kujikinga na maradhi kwa kutumia kinga yake yenyewe ni zipi? 1. Kujiweka katika hali ya usafi. 2. Kula chakula bora, balanced diet. Kula chakula bora sio ngumu, unaweza pika ugali wako, kula yai moja au samaki...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kumi na moja bila kuchomoa

    Wakuu salaam. Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja. Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha? Nawasilisha.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa) 2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media) 3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike...
  6. JamiiForums Tanzania Simu yangu inaingiza Apps bila ridhaa yangu (bila kudownload), shida ni nini?

    Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps. Wazee wa IT shida ni nini...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

    Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Ackson- kupotelea kwenye sanduku la kura; mkakati waandaliwa kuachana naye bila tashwishwi

    Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu kwamba hatoweza kutoka katika sanduku la kura kwa sababu hakuna anayemkubali kulinganisha na wapinzani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Wanakata maji bure wanaorejesha kwa kati ya 15,000 hadi 150,000 bila kutumia control number;

    Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa vifaa. Wateja wenye mifumo ya maji isiyotoa maji ni wengi na hakuna sababu za kwanini maji...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli wewe ni mzalendo kwanini unaunga mkono mkataba wa DP World bila marekebisho?

    Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho? Sababu je ni hipi hasa 1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya? 2. Haujauelewa mkataba? 3. Umenufaika binafsi? 4. Unajali siasa kuliko nchi? 5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi? Je, kwanini...
  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Maisha miji mingi ni ghali bila sababu za msingi

    Hapa ni Mpemba Tunduma hii ni room ya 35,000 very classic na wifi juu. Dar au Arusha hii utasikia 60 au 80 kabisa. Msikompliketi maisha. MY TAKE: Weka bei chee kwenye bidhaa au huduma uza zaidi, Bakhresim theory of doing business.
  13. JamiiForums Tanzania Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

    Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu. Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Logical thinking: CCM bila kujua, inapitia mapigo kama ya Farao, na lipo moja litakalokuja kuwaangusha(Pigo la 10)

    Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo...
  15. JamiiForums Tanzania Tuliosoma sayansi A-level bila kwenda tuition tukutane hapa

    Wakuu leo kuna rafiki yangu wa A-level nilimkumbuka nikajikuta nimekumbuka mambo mengi sana ya enzi hizo miaka zaidi ya 15 iliyopita. Ni kwamba mimi ni mojawapo wa watu tunaojivunia kusoma mchepuo unaoheshimika na kuogopwa kuliko yote nchini yaani PCM (Physics, Chemistry and Pure Mathematics)...
  16. JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha inaonekana bora zaidi bila daladala

    Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala. Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala. Ni wakati sasa wa mamlaka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naipenda Solidarity ya CHADEMA kupigania haki; Wanampigania Dr. Slaa bila kujali itikadi yake

    Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania. Wamekuwa wakipigania haki bila kujali itikadi; wamewapigania akina Nape na Kinana wakati wa Magu. Hizi solidarity uwezi kuzipata CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  19. JamiiForums Tanzania Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
  20. JamiiForums Tanzania Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu. Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…